Nashukuru kwa kurudi ila Usijibu kwa Hasira, Mi nilitegemea hoja toka kwako ambazo zinaambatana na mafanikio mliyoyapata {Cup Mbele ya Pep na Klopp {
ulicheza fainali na yupi kati ya City na Liverpool?} kwa Hoja Pointi yako hata Brendan Rodgres kachukua Cup mbele ya Pep na Klopp, So is ETH!
Arteta kaajiriwa rasmi Arsenal DEC 2019, so mpka leo ni SEASON 5 { Njoo na hoja ya kupinga hili, Mana Kocha wa Arsenal msimu wa 19/20 ni Arteta sijui kwako ni nani}
STILL UNAKWEPA SWALI LANGU, NITAJIE ACADEMY PLAYER WA ARSENAL ALIEPEWA DEBUT NA ARTETA NA MNAE KWENYE KIKOSI?
Dah! Eti kupandisha uwezo! We jamaa Mi Naheshimugi sana michango yako ukiwa unatoa unazi! Moyes unamchukulia Poa na ndo kamleta Arteta kwenye Ramani ya Mpira!! Moyes kampa Debut Wayne Rooney na timu yako Arsenal na akawaeka goli lake la kwanza na ni moja ya Wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea UTD, Arsenal hamna Level ya Mchezaji kariba la Rooney na Hamjawahi kuwa naye aliyepata mafanikio kama yake.
Mi Nilikuuliza Mafanikio ya Arteta kwa Season 5 ni yapi? Hukujibu hili, So achana nalo. Nijibu Hilo la Academy Players wenu walopewa nafasi na Kocha wako
Forgotten na
Bagabeach nao wali-quote kusikiliza jibu lako.