Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,492
- 35,642
MAN U MABINGWA MNAJUA MPKA MNAKERA
MMENIPA HELA
ARSENYETO NI MAKENGE
MMENIPA HELA
ARSENYETO NI MAKENGE
Kiuchezaji Onana yupo vizuri ila nazungumzia kiudakajiNyie kipa wenu ana tofauti gani juu kiuchezaji na onana?

Kiuchezaji Onana yupo vizuri ila nazungumzia kiudakaji![]()
Kuna wachambuzi uchwara humu wao kila kukicha ni kumponda Antony sijui huwa wanakula maharage gani. Tumeona hapa baada ya Antony kutoka uwanja umeinama na tumefanyiwa msako wa hatari mpaka tukawa tunamlaumu refa amalize mpira wakati Forest wao wanakadi nyekundu.
Kimpira sikatai Antony anamakosa yake lakini sio makubwa kama yanavyokuzwa, huwezi fananisha Anton na Sancho, Rashford na Martial. Antony kapiga cross za maana leo straiker wakufunga hakuna.
Nitakuwa wa mwisho kuamini Antony ni mbovu mpaka pale nitakapomuona akicheza na straiker mwenye kujielewa.
Wanaomkataa Antony Mi Mwenyewe Huwa Nawashangaa Sana..Kuna wachambuzi uchwara humu wao kila kukicha ni kumponda Antony sijui huwa wanakula maharage gani. Tumeona hapa baada ya Antony kutoka uwanja umeinama na tumefanyiwa msako wa hatari mpaka tukawa tunamlaumu refa amalize mpira wakati Forest wao wanakadi nyekundu.
Kimpira sikatai Antony anamakosa yake lakini sio makubwa kama yanavyokuzwa, huwezi fananisha Anton na Sancho, Rashford na Martial. Antony kapiga cross za maana leo straiker wakufunga hakuna.
Nitakuwa wa mwisho kuamini Antony ni mbovu mpaka pale nitakapomuona akicheza na straiker mwenye kujielewa.
Huyo ni kama wale vijana wetu tuliowapambaga akina Chong kumbe nywele nyingi kuliko uwezoKaramoko dembele ameishia wapi yule bwana mdogo?
Ila dogo alikuwa na mguu wa kushoto wa hatari,Huyo ni kama wale vijana wetu tuliowapambaga akina Chong kumbe nywele nyingi kuliko uwezo
Na hiyo weakness ndio inatuangusha huo mguu mmoja huwa unafanya anaua mashambulizi mengi sana.Hua nawaambia hapa wanavyo lalamika antony antony sijui hua hawaoni kina Rashfd wanafanya nn
Mm antony hua naona kule mbele ndo anapambana kasoro yake mguu mmoja tu
Rangnick si mlishamtukana sana mkasema tumeajiri director na sio kocha why now!Ondoa huyu kipara, turudishie rangnick
Kipara ni muhuni
Na hiyo weakness ndio inatuangusha huo mguu mmoja huwa unafanya anaua mashambulizi mengi sana.
Siwezi kumdai magoli mimi nahitaji assists kwa sana aache ubinafsi

Bukayo saka ana miguu mingapi?Na hiyo weakness ndio inatuangusha huo mguu mmoja huwa unafanya anaua mashambulizi mengi sana.
Siwezi kumdai magoli mimi nahitaji assists kwa sana aache ubinafsi
Usinichukulie seriousRangnick si mlishamtukana sana mkasema tumeajiri director na sio kocha why now!
Hata CR7 nae alimtia shit pia
Kinaongelewa hapa uwezo wa kutumia kwa ziada weak foot kitu ambacho Antony hana hata kupiga shuti na mguu wa kulia haweziBukayo saka ana miguu mingapi?
Tuendelee tu kuona panapovuja hasa tukikutana na Brighton.Usinichukulie serious
Wengi wao huwa ni wafuata mkumbo tu Antony ni typically Man utd player, anayo fighting spirit ambacho ndicho kigezo kikubwa cha wachezaji wa united kitu ambacho Rashford, Sancho na Martial hawana.Wanaomkataa Antony Mi Mwenyewe Huwa Nawashangaa Sana..