D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
hata cristiano ronaldo alizungumzia udhaifu huo.Na miundo mbinu training nayo dhohoful hali gym ndo kama wapo barakuda
huwa nakerwa sana ninaposhuhudia wachezaji wetu wanaadhibiwa kinguvu na wachezaji timu pinzani.
unamuangalia bukayo saka licha ya udogo wa umri alionao lakini yupo fiti, huku kwetu wachezaji wetu utadhani hawafanyi mazoezi ya kujenga mwili
mipira ya kichwa ni wadhaifu
second ball ni wadhaifu
n.k
