trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 764
- 1,414
Kwa hiyo hajacheza manjesta? Au hujui ililipwa €3m ya loan fee
Kwa mkopo afu pesa ya dagaa
Kwa hiyo hajacheza manjesta? Au hujui ililipwa €3m ya loan fee
DoF wa manjesta Sasa ni nani
Hakukuta kikos kibovu Kama mnavyoamishwa na 7hagWewe na chuki zako usijisahaulishe pamoja na kupewa izo hela angalau Manchester msimu jana tulimaliza watatu kulinganisha na team alivyoikuta it was shambles everywhere + na league cup kabatini na runner up kwny FA cup
Ndio inakamilisha ile €250m unayosikia 7hag katumia last seasonKwa mkopo afu pesa ya dagaa
Fretcher ni Nani paleBwana john
Hakukuta kikos kibovu Kama mnavyoamishwa na 7hag
Mtu kamkuta had CR7,
Itafika muda utakubali Erik 7 Egg uwezo wake mdogo, hawez kujificha kwenye kichaka Cha Grazzer siku zote,Yana mwisho
Hayo unayoona mafanikio mwaka Jana asilimia kubwa ni form Bora kabisa ya Rashford ,Bruno na Degea
Msimu huu utaiona sura halisi ya Ten egg,
Rashford huwa anarudi default settings
Onana atakumbana na mafurukiko yakutosha
Casemiro kashachoka
Ndio Maana huoni playing style
Ila sisi toka last season tulisema Ten hag anashinda ila Hakuna playing style,
Hali hii huwa ni ya muda mfupi tu


Embu kwanza ncheke
Fretcher ni Nani pale
adui wa manchester united ni work rate