True ajaribu mtu kugusa aone Bei atakayoambiwaMpaka dau lake lifike 100mil
Juzi kafunga goli angekuwa Rashford angejiangusha.Huyu Mitoma hapo Brighton anasubiri nini?
Kuna Sergio Ramos nae hana timu, but 7Hag opted Evans coz ni coward, hawezi ku handle pressure ya kuwa na Ramos kwenye kikosi,mufc are close to agreeing a one-year contract with Jonny Evans.
Leo nimekubaliana na maoni yako. Sijui anaona nini kwa Evans!Kuna Sergio Ramos nae hana timu, but 7Hag opted Evans coz ni coward, hawezi ku handle pressure ya kuwa na Ramos kwenye kikosi,
Klabu moja kubwa ikianza kumfukuzia utashangaa hao nao wameliungaTrue ajaribu mtu kugusa aone Bei atakayoambiwa
Hawa Brighton Wana mipango Sana ,Juzi kafunga goli angekuwa Rashford angejiangusha.
Yule Chief Executive wao nilisikiliza interview yake wale jamaa wana mipango sana. Anasema wao badala ya kusaka wachezaji kwenye mataifa makubwa wanaenda zile nchi ndogo, kama ni South America hawaendi Argentina wala Brazil wao wanaenda Ecuador.
Akamalizia kwa kusema wao kabla hawajauza mchezaji tayari kuna mtu wa kuchukua nafasi wanakuwa wamemuandaa.
Ndiyo nikawaza timu yetu inaendeshwa vibaya. Tunatumia pesa nyingi kwa wachezaji wenye viwango vya kawaida, wakati Brighton wanajibebea mafundi na wapiga kazi kwa pesa ya karanga.
Yule Rangnick na Solskjaer ni watu ambao wanajua kupata talents. Wangepewa nyadhfa kwenye timu isipokuwa ukocha huenda wangetufikisha mbali sana.
Sasa hivi ni wazi pesa siyo kila kitu kwenye football kama hamjui matumizi yake.
Hadi maji muite mma| NEW: Rasmus Højlund’s debut may be delayed until after the September internationals. [@samuelluckhurst]
Hii timu bila kujipa likizo ya lazima itatutoa damu.
Sasa hivi kwenye EPL ni Pep, Arteta, De Zerbi, Klopp, Howe & Unai wengine ndiyo wanafuata.Hawa Brighton Wana mipango Sana ,
Kwanza Wana kocha Mwenye Brain ya mpira
Di zerbi naomba Sana asipewe timu kubwa EPL atatusumbua Sana , Pep anamjua vzr huyu jamaa
View attachment 2727352
😂😂😂 Muhimu tupate tu points 3 pale Emirates na Old Trafford mengine tutajua wenyewe.Hadi maji muite mma
Wamemuuza Matej Kovar sasa hivi wanatafuta back-up GK kwa £15m. Hivi vitu vipo Man United tu.We signed Noam Emeran for €2.1 million as a 16-year-old and have sold him for less than €1 million.
View attachment 2727370
Heaton na huyo Matej wapo vzr Sana ,timu yenu ina tatizo la DoF aisee,Wamemuuza Matej Kovar sasa hivi wanatafuta back-up GK kwa £15m. Hivi vitu vipo Man United tu.
Unamkumbuka NUNO WA WOLVERHAMPTON Alikuwa mwal mzuri sana tana sana alipokwend spurs tu yalio mkuta wote tunajua huenda kweli mwalimu wa BRIGHTON NI MZUZI ILA JE AKIPEWA TUMU KUBWA ATAKUWA HIVYO HIVYHawa Brighton Wana mipango Sana ,
Kwanza Wana kocha Mwenye Brain ya mpira
Di zerbi naomba Sana asipewe timu kubwa EPL atatusumbua Sana , Pep anamjua vzr huyu jamaa
View attachment 2727352
Hili swali huwa silipend ,maana mwalimu mzuri kwa timu ndogo anaonekana tu ukimpa timu kubwa atazinguaUnamkumbuka NUNO WA WOLVERHAMPTON Alikuwa mwal mzuri sana tana sana alipokwend spurs tu yalio mkuta wote tunajua huenda kweli mwalimu wa BRIGHTON NI MZUZI ILA JE AKIPEWA TUMU KUBWA ATAKUWA HIVYO HIVY