Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Kwa hio leo Onana imekua ni usajili bora?Casemiro
30+ age
€70m
Kwasasa kukimbia imekuwa mzigo kwake
Mpaka Sasa 7hag Ten egg sajili zake bora ni Martinez na Onana, kuzingatia umri , uwezo ,
Ametumia €400mView attachment 2724936
Baada ya kusajiliwa si ulikua unamponda na kuwadanganya watu humu kua Onana kwa Epl ni shati bora hata ya Dagaa (De gea)
Masingeli kua basi na msimamo ndugu yangu, mbona una yumbayumba kama vile uko kwenye mtumbwi?