Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,874
- 32,792
Alijaribu kuweka blue print yake wachezaji wakamwangusha wakati timu ilikuwa na pressure ya matokeo.Manjesta last season ni pass mbili tatu ,kwa BrunoRashford
Goal
Na uzuri Rashford alikuwa form ya maisha yake
Ila tulisema Ten hag Hana brueprint tukaonekana wababaishaji, ila mark my words msimu mtajionea sababu Rashford hawez rudia form yake ile ambayo ndio ilificha madhaifu mengi
By the way kwa namna navyoifahamu Man United sidhani kama wachezaji aliosajili Ten Hag ni chaguo lake la kwanza au la pili.
Van Gaal alikuja kusema baada ya kufukuzwa kuwa wachezaji alikuwa akisajiliwa wale chaguo lake la tano au sita.
Mourinho vile vile alilalamikia usajili kuwa hapati targets zake.
Ole alikuwa clear na target zake na nyingi hazikusajiliwa, na msimu ambao alihitaji wachezaji aliletewa Cavani, Fecundo, na Amad.
Ole angefukuzwa msimu wake wa pili tu ila aliokolewa sana na ujio wa Bruno Fernandez ambaye alifunga goli nyingi kuliko hata strikers wetu.
Najua Erik Ten Hag anaweza kupoteza kazi yake kabla ya October kama timu itakuwa na Mwenendo usioridhisha ila kilicho wazi atasema kwanini ameshindwa kudeliver.
Rashford