Kosa la Nani? Ikiwa kocha ndiye ana Power ya kuwaleta ,mzigo mnambebesha Grazzer
Ndio maana Kuna watu walisema kwa usajili huu ni Kama amesajili mchezaji mmoja tu ,Onana, huenda wakawa sahihi
Anzeni na kocha kabla ya wamiliki
Kocha kasapotiwa
€85m kwa CF
€100M kwa RW
€55m kwa GK
€60m kwa Kiungo
Bado mnalalamika wachezaji wabovu ,Nan anawaleta