Endapo Arsenal wakishinda Liver watakuwa nyuma yetu kwa 2 points....
Endapo Arsenal wakishinda Liver watakuwa nyuma yetu kwa 2 points.... afu siwezi kujiona nashangilia ushindi wa Man utd jinsi navyowachukia kama Ukimwi.
Adnan hawezi kucheza hapa waangalie mbadala mapema
Naona muda si mrefu mtakwenda kununua jezi za Fellaini
hii game kule pembeni kwa januzaj angekuwepo welbeck ama young. Hao wana defensive work rates kuliko adnan..
Anyway, ngoja tuone.