Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Suarez anakaribia kurusha ngumi. Leo lazima akae kwa jones.
 
Nimeipenda man u kwa dakika chache hizi ni kiatu mtindo mmoja
 
Kuwa mkweli bana.... nina uhakika msimu wote umeangalia mechi za Man utd na wasiwasi kama ulionao leo.

Niko radhi nifungwe game zote, lakini si kufungwa na loserfools ambapo kutapelekea pengine wao kushinda EPL.

Ndio maana nina wasiwasi kuliko maelezo...
 
Draw itakusaidia nini?
Endapo Arsenal wakishinda Liver watakuwa nyuma yetu kwa 2 points.... afu siwezi kujiona nashangilia ushindi wa Man utd jinsi navyowachukia kama Ukimwi.
 
Back
Top Bottom