Bado ni rumours tu, Liverpool tumekuwa tukihusishwa na kila Midfielder kwa sasa.......Nadhani watakuwa wanatafuta Attention kwa Man united tu.Amrabat huyooo Liverpool
***** zao United!![]()
We jamaa bana.Eti mashabiki wa manjesta wanakuwa surprised na pira makande ,utadhani last season walikuwa wanacheza pira biliani
Inaonesha hujui Arsenal tunachezaje ,option zetu zipoje , Timber Ni RB ,but tulikuwa tunamtumia Kama LB ambapo Kuna option karibu 3, kuumia kwa Timber kumepunguza depth ya kikos hakujaathiri uchezaji ,so tutaingia sokon kuongeza depth ,simple like thatWe jamaa bana.
Vipi mtaingia sokoni kutafuta mbadala wa Timber anayeelekea kitandani kwa wiki 40?
Nashukuru mimi sikumtukana, nilimsifu sana. Niliyemtukana sana ni Martial. pumbaf zake.Nasubiri mumuombe AWB msamaha..
Mtaumia kusema hivi, lakini Chelsea wanaonekana ni timu bora uwanjani kuliko United na ni miezi miwili TU tangu Pochettino apewe timu... Wakati huo huo 10hag ni miaka miwili na United hii inayoonekana kuwa ya Hovyo kabisa.
Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu juu y Talent ID ya 10 hag.. Msimu uliopita, United walikuwa na tatizo kubwa la kushindwa kuutawala mchezo, hawana kiungo ambaye ana uwezo wa kudhibiti kasi ya mchezo, ( Control the tempo)
Msimu mpya lakini tatizo bado ni lile lile, walimsajili Meson Mount, ni usajili mzuri, lakini kama mchezaji TU wakikosi (Squad player) lakini kumchezesha pamoja na Bruno na Casemiro kunaonekana hakutofanikiwa wote watatu hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kuutawala mchezo "Mbona Thread Ya Arsenal Inakataa KufungukaTaratibu maji yanaanza jitenga na mafuta
Niliyoyasema miezi kadhaa kuhusu 7hag taratibu Yanaanza kuonekana kwa mbali
Erik ten hag Mfukoni mwa Gary O' Neil |
Anasema
Mtaumia kusema hivi, lakini Chelsea wanaonekana ni timu bora uwanjani kuliko United na ni miezi miwili TU tangu Pochettino apewe timu... Wakati huo huo 10hag ni miaka miwili na United hii inayoonekana kuwa ya Hovyo kabisa.
Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu juu y Talent ID ya 10 hag.. Msimu uliopita, United walikuwa na tatizo kubwa la kushindwa kuutawala mchezo, hawana kiungo ambaye ana uwezo wa kudhibiti kasi ya mchezo, ( Control the tempo)
Msimu mpya lakini tatizo bado ni lile lile, walimsajili Meson Mount, ni usajili mzuri, lakini kama mchezaji TU wakikosi (Squad player) lakini kumchezesha pamoja na Bruno na Casemiro kunaonekana hakutofanikiwa wote watatu hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kuutawala mchezo "
Yuko mhuni anaitwa "Hujland" huyu pekee ndio atatuokoa. Al-HadidyCasemiro kachoka sana nadhani muda wa kula pensheni umefika.
Rashford punda sana anacheza kifaza sana ,washambuliaji wetu hovyo sijui tutafikaje September bila namba 9 katili,hapa wakachukue cheap options kama Mehdi Taremi tu.
Kupigwa msako kawaida ila huwa tunafanyiwa hivi tukiwa tunaongoza kwa tofauti ya goli 1 inatakiwa washambuliaji wabadilike tukiwa tunaongoza hata 3 hatuwezi kukutana na hizi shuruba za stoppage time kwa sababu tunakuwa hatuna presha.
Sajili 3 hazitoshi hapa naona usajili ni wa kipa tu hizo nyingine pata potea
Weka 6 yoyote duniani kwa mfumo wa Jana angechemka, i hope hii ni wake up call kwa ETH no 8.5 wawili inaweza kutucost tukikutana na Timu inayojielewa 7 zinaweza rudi tena. Hawa Wolves ndio wanatabiriwa kushuka daraja ila Cunha alikua anapita tu katikati, kweupe kabisa.
Isije kuwa huu ni msimu wa Wolves kupiga vigogo. Tusijilaumu sana next weekend anakutana na Brighton ngoja tuone.Weka 6 yoyote duniani kwa mfumo wa Jana angechemka, i hope hii ni wake up call kwa ETH no 8.5 wawili inaweza kutucost tukikutana na Timu inayojielewa 7 zinaweza rudi tena. Hawa Wolves ndio wanatabiriwa kushuka daraja ila Cunha alikua anapita tu katikati, kweupe kabisa.
InafungukaMbona Thread Ya Arsenal Inakataa Kufunguka
Taratibu maji yanaanza jitenga na mafuta