Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,425
Waingereza wana ujinga mwingi sana.Iyo Jezi namba 7 ana deserve garnacho respectfully kuliko uyo kibaka
Hio pesa ya kumsajili Freemason ni bora hata ingetumika robo yake kumbakisha Sabitzer.
Waingereza wana ujinga mwingi sana.Iyo Jezi namba 7 ana deserve garnacho respectfully kuliko uyo kibaka
Strength ya degea ilikua ngumu Sana kumtunga magoli ya mbali hasa ikija juuOnana ni bonge moja la kipa la goli, tena usije thubutu kumfananisha hata kidogo na nyanda za juu kusini wenu Rasmadale.
Wachezaji pekee wanaoweza kumfunga Onana ni wale maprofessional wa kutungua maembe kwa kutumia mawe (Sniper) tena usijidanganye kabisa wachezaji wa Asenyo kama Sakaya, Matololi, Jasusi wanaweza kumfunga MG(Midfielder Goalkeeper) André Onana hata goli la offside.
let's stay there time will tellMkuu kwa mtu Kama mount nimetulia, coz ndio anaanza maisha
Ila huyu Antony case yake tofauti, Kama pure mathematics upo vizuri
Kuna topic inaitwa differential equations, nazungumzia exponential curve ya Anthony ni rahisi kui-predict itakuaje. Japo nilisema time will tell
Game ya kwanza Antony alipotua EPL alicheza na kina nani?Na goli alilowabandua walikua ni kina nani??Kwaio impact ya Anthony ni pre season,? Mtu yupo tangu msimu uliopita wote ule
Tukiwaita nyumbu mtasema tunawatukana?



Kwahiyo habari ya AMRABAT ndio inaishia hapo?Man United manager Erik ten Hag has demanded the club sign Aurelien Tchouameni from Real Madrid!
(Source: SPORT)
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2709655
Ni tetesi mkuu ila lolote linaweza kutokea.Kwahiyo habari ya AMRABAT ndio inaishia hapo?
Kufunga mechi ya kwanza haiondoi pale mlitapeliwa Kama mnavyotapeliwa Sasa kwa mount ana Mwaka mmoja na nusu ana goli 1 na assist 1Game ya kwanza Antony alipotua EPL alicheza na kina nani?Na goli alilowabandua walikua ni kina nani??
Aisee kesho ifike tu izi kenge haziishagi mdomo mpaka pale Jini litapomtokea Ramsdale mara 3
Kwa Onana huyu subirieni vilio tuOnana ni bonge moja la kipa la goli, tena usije thubutu kumfananisha hata kidogo na nyanda za juu kusini wenu Rasmadale.
Wachezaji pekee wanaoweza kumfunga Onana ni wale maprofessional wa kutungua maembe kwa kutumia mawe (Sniper) tena usijidanganye kabisa kwa wachezaji wa Asenyo kama Sakaya, Matololi, Jasusi wanaweza kumfunga MG(Midfielder Goalkeeper) André Onana hata goli la offside.
Mount anacheza Kama veterani Mimi namuhesabia kama alishamalizaga mpira kipind Cha Tuchel , alikuwa anajituma kwa lampard ,Mkuu kwa mtu Kama mount nimetulia, coz ndio anaanza maisha
Ila huyu Antony case yake tofauti, Kama pure mathematics upo vizuri
Kuna topic inaitwa differential equations, nazungumzia exponential curve ya Anthony ni rahisi kui-predict itakuaje. Japo nilisema time will tell
Yaan ww jamaa sumtym nakuona kama wale mashabiki tim,na sio mpira,....Casemiro akiwa na mpira Kama ana siafu miguuni
Ni mzuri akiwa Hana mpira ,thus why hawezi cheza kwa timu possession based
Yaan ww jamaa sumtym nakuona kama wale mashabiki tim,na sio mpira,....
Ukiwa shabiki wa football,sio arsenal pekeake,utaenjoy sana na itakuondolea unafiki.
Hivi kweli kuna shabiki mkweli wa mpira asiyeufahamu ubora wa Casemiro?au sababu anachezea Man u?
Na mara nyingi naona jinsi unavomzungumzia Maguire,kwamba ni beki mzuri sana,unafiki wa kiwango cha juu saaana.......


Huyo Mc Masingeli hayo anayoyaongea hayatoki moyoni ni utani wa jadi tu mkuu usimchukulie serious sana. 


Nyumbu hizi sajili zenu mmeamua kuweka mafenesi, matikiti maji, matembele, mapeazi, matango na maindi ya kuchemsha sehemu mmoja.






Aiseee kweli nyani haoni kundule.
Yale maparachichi, mabilinganya, mastafeli , nyanya chungu, majani ya maboga na makabechi yenu yamewasaidia nini zaidi ya kutaka kuwashusha daraja?




