Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ten Hag on why Man United invested on Højlund: “Rasmus has huge potential. He wants to score goals, he’s hungry… it’s always on his mind”.

“Trust me, he has such a huge potential and now it's up to him to exploit it and we will support him, all coaches and teammates”.


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230805_190601_689.jpg
 
Baada kupigwa sana kwenye sajili za kitapeli naona na nyinyi mkaanza rasmi kujifunza technic za utapeli?
Hizi biashara za kitapeli mlizoanza nazo msimu huu kwa Kai Harvez na FreeMason naona ni mwanzo mzuri sana kwenu kuingia kwenye chama la matapeli.
Sasa kama mabwege wa kutapeliwa wapo ya nini sisi tuumize ubongo kupita njia ndefu. Mjini ni kuishi kwa kutumia bongo
 
kama unalijua hili ungetulia basi kwanza
Mkuu kwa mtu Kama mount nimetulia, coz ndio anaanza maisha

Ila huyu Antony case yake tofauti, Kama pure mathematics upo vizuri
Kuna topic inaitwa differential equations, nazungumzia exponential curve ya Anthony ni rahisi kui-predict itakuaje. Japo nilisema time will tell
 
Shaw. ......Madame V. .........Martinez......... Bisaka
.
.
. . .......................Omama
.
.

Hapo sub una super captain halima magwaya, lindelofa,.....


Tusitafutiane lawama jaman
 
Umeamua kumkataa Omama kwa kutuzingizia wazee wa arsenal ya NDOO

Tuliosoma Cuba tumeshakusoma
Onana ni bonge moja la kipa la goli, tena usije thubutu kumfananisha hata kidogo na nyanda za juu kusini wenu Rasmadale.
Wachezaji pekee wanaoweza kumfunga Onana ni wale maprofessional wa kutungua maembe kwa kutumia mawe (Sniper) tena usijidanganye kabisa kwa wachezaji wa Asenyo kama Sakaya, Matololi, Jasusi wanaweza kumfunga MG(Midfielder Goalkeeper) André Onana hata goli la offside.
 
Back
Top Bottom