allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,331
- 10,957
Acha wenge leta matokeo yetu ya arsenyani.Pre season yote hamjatoka na cleansheet [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha wenge leta matokeo yetu ya arsenyani.Pre season yote hamjatoka na cleansheet [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili ajibu shabiki wa arsenalPre season yote hamjatoka na cleansheet [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ndio onana [emoji23][emoji23]View attachment 2709604View attachment 2709605
Dah wewe jamaa[emoji1787][emoji1787]Hichi kikosi Cha Leo wakiuza hata timu nzima ni sawa tu chote kimeoza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wayaaaaaaaaaaaaa. ONANA katunguliwa na leo
We tulikulamba mara 2 dk 90 tulikupiga goli 2 afu kwenye penati pia tukakulomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo atapewa nafasiOmar forson anaweza kuwa bukayo saka wetu?
Nilikuwa bado natafuta combination kumbuka nimesajili wachezaji wapya 3 ambao wanaingia first elevenWe tulikulamba mara 2 dk 90 tulikupiga goli 2 afu kwenye penati pia tukakulomba
Mnagoma Bei ,Westham wanawataka magwaya na mactominay ,wanatuma ofa mnazikataa ,Hivi hakuna hata watu wanaowataka Martial,Maguire,Fred,McTominay na Van de Beek ile seriously?..
.Eriksen amekata moto mapema, saudia arabia inamsubiri