Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United are aiming for the weekend to unveil Rasmus Højlund as new signing.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230803_084907_886.jpg
 
Jonny Evans is understood to be close to earning a one-year deal at Manchester United.


#Telegraph
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230803_084902_862.jpg
 
Comparison ya ETH na hawa ipo kwa aina ya Uchezaji, Mwanzo ETH akiwa na AJAX ya Kwanza alikuwa anacheza zaidi Possession Game {Hapa alireplicate Game ya Pep}, na alitegemea zaidi CM's ila Awamu ya Pili baada ya timu kubomoka alitengeneza timu inayofanya Transition zaidi kwa aina ya Players alokuwa nao

Kwa sasa hivi UTD yake inaenda fanana zaidi na Timu ya Klopp kwa aina ya Uchezaji mana Inategemea zaidi Transitions, Hizi zaidi ni zile fast Break baada ya kupata Mpira, CITY wanaeza pata Mpira na kuanza piga sideways Passes kwa sababu wana ubora katika hilo na kufanya Build Up kwenda kushambulia kwa kutumia Nafasi zaidi, UTD na LIVERPOOL inakuwa tofauti Shambulizi zao Mingi zinategemea Mikimbio ya Players wake na Ndo mana Liver wanakuwa hatari zaidi wakiwa wanakuja baada ya kunyang'anya Mpira sawa ya na UTD na ndo inapoelekea View attachment 2706261

Hapa i Chose to Differ, Klopp akianza julikana na Dortmund alikuwa na CM's Soft sana kama unavyowaita Mana alikuwa na Nuri Sahin na Shinji kagawa, Baadae ikawa ni Goetze na Marco Nyuma ya Robert, {Timu zake huwa na Punda, na Dort alikuwa ni Grobkeutz na Kuba}

Sasa hivi amemchukua Szoboszlai na McAllister ambao ni Type za kina Ericksen, FDJ anacheza timu yeyote na Mfumo wowote na hata ukiangalia kitakwimu ana-Balance Game yake kwenye zones zote za Uwanja, Angalia hapa Chini kati ya hao walosajiliwa na wametoka kwenye timu za High Tempo {RB Liepzig} na {Brighton} dhidi ya FDJView attachment 2706270

Kwa nini nakwambia UTD inaenda fanana zaidi na Klopp, ni kwa sababu hii ulosema, Rashford Last season amekuwa na msimu bora maana amekuwa akitumika shambulia hizo half Space {Nafasi kati ya CB na Fb} LIVERPOOL Ikiwa na Miaka Productives 18/19~19/20~20/21 watu hatari zaidi walikuwa ni Salah na Mane sababu Firmino anajua Drop Chini na kuwa kama Additiona Attacking Midfielder, Season Ilopita wameteseka na Injuries na Mabadiliko ya Timu

Hojlund ni Monster kwenye Transition na Ndo mana ETH alikuwa Target yake ya kujilipua ingawa Awali alikuwa anamtaka Kane mana Harry anajua Drop chini na kufanya kazi kama ya Firmino, So Ufananisho wa ETH na Klopp kwa aina ya Game anacheza na anataka icheza ni Mkubwa Chief!
Watu kama nyie ni MUHIMU SAANA katika jukwaa hili
 
Bros

x 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230803_110908_415.jpg
 
Amad Diallo will miss the first part of the Premier League season, after sustaining a knee injury

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230803_195304_521.jpg
 
#mufc could have a very secure midfield next season…

Bruno Fernandes
Sofyan Amrabat
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿/ Kobbie Mainoo
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Mason Mount
Casemiro
Christian Eriksen


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230803_195255_844.jpg
 
A Supercomputer has predicted the Premier League 23/24 table.


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230803_195224_614.jpg
 
Fred will NOT join Galatasaray. Other clubs are keen on him.

#FabrizioRomano
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230803_195213_183.jpg
 
#mufc could have a very secure midfield next season…

Bruno Fernandes
Sofyan Amrabat
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿/ Kobbie Mainoo
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Mason Mount
Casemiro
Christian Eriksen


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2707441
Kobbie Mainoo atakuwa nje kwa majeraha mpaka January
 
#mufc and Real Sociedad remain locked in talks for a deal for Donny Van de Beek. Fred will also 100% leave United. These are crucial steps in a potential move for Sofyan Amrabat.

[Fabrizio Romano]
Q#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230801_133451_063.jpg
 
Old Trafford is ready for the new season


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230804_010806_375.jpg
 
Mmshafanya matengenezo ya vyoo na vitu vingine?

Maana last time Ronaldo alilalamika vyoo ni vya kizamani sana, gym ya kizamani, cafeteria mnakaa kwenye mabenchi n.k.

Unaweza rejea ile interview na Morgan Piers

images (2).jpeg
images (4).jpeg
images (5).jpeg
images (6).jpeg
 

Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    27.8 KB · Views: 3
Happy 37th Birthday Antonio

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230804_114819_845.jpg
 
Erik ten Hag anataka Manchester United kushindana na Bayern Munich kwa ajili ya kumsajili Aurelien Tchouameni, kwa mujibu wa Sky Sports

Inadaiwa Tchouameni ni mmoja wa wachezaji ambao Real Madrid wako tayari kuwauza ili kufadhili uhamisho wa Kylian Mbappe au mbadala mwingine wa Karim Benzema.
1691158108426.jpg
 
Erik ten Hag anataka Manchester United kushindana na Bayern Munich kwa ajili ya kumsajili Aurelien Tchouameni, kwa mujibu wa Sky Sports

Inadaiwa Tchouameni ni mmoja wa wachezaji ambao Real Madrid wako tayari kuwauza ili kufadhili uhamisho wa Kylian Mbappe au mbadala mwingine wa Karim Benzema. View attachment 2708343
A Dutch David Moyes
 
Back
Top Bottom