IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,811
- 7,277
Huyu Onana ana cleansheet ngapi toka ajiunge Manchester?
Clean sheet sio makalio kwamba kila mtu anayoHuyu Onana ana cleansheet ngapi toka ajiunge Manchester?
[emoji1787][emoji1787]Clean sheet sio makalio kwamba kila mtu anayo
Wenzetu facilities zinafanyiwa matengenezo kila msimu. Hasa pitch.Old Trafford is ready for the new season [emoji7]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2707664
Oya [emoji1787][emoji1787]Onana lazima wamtungue tena leo
Dakika ndio zinazidi kukaribia, fanyeni kujisogeza mapema kwenye vibanda umiza mpate kushuhudia burudani kabambe kabisa toka kwa vijana machachari wa 10Hag.Oya [emoji1787][emoji1787]
Sema Leo wameweka kikos Kaz ,hapa tutajua wanaenda kugombea nn msimu ujao
Saa nane na dakika 45Mechi saa ngapi wakuu?
A Dutch David Moyes Erik 7 hagDakika ndio zinazidi kukaribia, fanyeni kujisogeza mapema kwenye vibanda umiza mpate kushuhudia burudani kabambe kabisa toka kwa vijana machachari wa 10Hag.
Unaambiwa kuna hospitali nyingine sasa hivi wameacha kutoa dawa, wagonjwa mahututi wanaandikiwa tu dozi ya kutazama game za Man utd kwa wiki mara mbili na wanapona.
Wanasayansi wameanza kufuatilia kwa kina kuna uhusiano gani wa kuangalia game za Utd na kupona maradhi tena mpaka yale sugu.