raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,686
Hawa jamaa kweli sabb ya kuachia team sioni kama pesa wanatoa sajili ndio kama hivyoNdio maana huwa nacheka Sana wanaosubiri Grazzer family wauze timu
Kuna sehemu nimeona wamesema wanataka £8B
Ni mjinga pekee ndiye atauza mgodi Kama manjesta
Huyo jamaa bado hajaonesha thamani ya pesa aliyosajiliwa hana tofauti na sanchoBinafsi naamini ukitoa mafanikio ya city ,Grealish angehesabika ni Flop mzuri tu,
Ukiweka Top 5 ya waliohusika kwa mafanikio ya city huwez muweka Jack
Hata mkiwapata Vinicius Jr na Mbappe Kwa pamoja Bado tutasema mmepigwaKwa critics nazo zisoma kwenye fans pages mbali mbali juu ya uchoyo wa wing zetu antony na Rashford basi hojlund atakuwa na wakat mgumu sana hapo mbele kama main ST na hili swala coach asipolitaflia fumbuz itakuwa kichomi kwake
Tusishangae humu rivalry fans kama wa arsena liverpool wakaja kusema hojlind ni garasa na tumepigwa wakati makosa hayasabishwi na yeye ST hapa na mzungumzia hamiss77
Mi naona board ya man utd wafanye mpango mkakati wa kumrudisha Greenwood ..najua tu ataleta chachu katika maendeleo ya wengine hususan hapo mbele... Mtu hatokuwa teal akae bench ata up his game performance
Pia man utd beki ni tatizo na hili litapelekea fans waanze kumuona onana ni useless wakati ni one of the goalie ambae ana cheza modern football keeper mchezaji..tukipata cb mmoja tu au wawili itasaidia sana
Kati hapo eriksen umri umeenda aisee tuna hitaji CM kama wawili ambrat na ikiwezekana kati ya option 2 za sokoni lavia na caisedo tunge interrupt moja ...mfano tungewafata brighton na ile package ya mount ya 60m plus a player kama mctominay wasingekataa why sababu brighton sio kuuza tu pia na wao wanataka kuwa na quality team ya ku compete UEL kule soo kumuuza caisedo 100m na hawana perfect replacement...???
Kwa hiyo Hawa jamaa wameanza ufisadi kama ule tulikuwa nao sisi na kina Don Raul?Huyo lazima nimtaje , ni usajili ambao ni reference nzuri Sana kuhusu 10hag Nini anakifanya hapo manjesta
Ni sawa na wewe leo ukaoe mwanamke mwenye matatizo ambaye uliwahi kuwa nae kimahusihano miaka ya nyuma
Tutahoji uwezo wako wakuchagua mke
Ndio 10hag alikuwa na Anthony Ajax ,anajua kabisa pale ni mchezaji wa show off tu , lakin kaja manjesta kamsajili kwa €100m
Sajili zake nyingine zimejaa connection ,Hojlund kwa €85m , wakala la Hojlund ndio huyo huyo wa 10hag , Kuna harufu ya overpayment hapo ,wakala kalamba 10%, Hojlund alimfukuza wakala wake wa awali ili aungane na huyu wa 10hag ,aletwe manjesta
Sisi wahafidhina wa football tumekaa pemben tunakula popcorn tunasubiri Moshi uanze kufuka
Watupe huyo Greenwood kama compe Kwa SakaGreenwood akirudi anahitaji mazoezi wiki 2 tu , Anthony anaenda bench mazima
Kipind anachipukia tulimuhitaji acheze as false 9Watupe huyo Greenwood kama compe Kwa Saka
Huo kwenye football haukwepeki, madalali wanapiga pesa Sana , siku moja nitaingia kwenye tasnia ya udalali wa soka nikafanye mtihani pale TFF wa FIFAKwa hiyo Hawa jamaa wameanza ufisadi kama ule tulikuwa nao sisi na kina Don Raul?
sasa utatupangia tumkubali rashford,maguire na mctominay ? hata kama timu ingekuwa yako isengewezekana tuwe na mtazamo sawaInatafutwa hela ya kumchukua Hojlund. Na ukizingatiwa Maguire alinunuliwa kwa hela nyingi awezi kuuzwa kwa hela ndogo. Kuna habari nilisoma Man u inataka angalau 40
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkubali sana yule dogo (sema tu hatuwezi kuweka wazi maana manyumbu yatavimba mabichwa)Kipind anachipukia tulimuhitaji acheze as false 9
Ila hawa jamaa wasingemuuza
Ana ball stricking kubwa Sana
Bila issue zake za kumpiga demu wake,angekuwa moja ya mawinga Bora dunian SasaNamkubali sana yule dogo (sema tu hatuwezi kuweka wazi maana manyumbu yatavimba mabichwa)
Daah safi sana boss. Kapige Hela Mzee bababHuo kwenye football haukwepeki, madalali wanapiga pesa Sana , siku moja nitaingia kwenye tasnia ya udalali wa soka nikafanye mtihani pale TFF wa FIFA
Ile ishu ilinisikitisha sana. Nilisikia sijui ana kesi ya ubakaji nikawa naona noma hata kusearch jina lake ila nilikuwa namuombea kimya kimya iwe kasingiziwa tu kijana arudi uwanjani japo ni mchezaji wa mahasimu wetu.Bila issue zake za kumpiga demu wake,angekuwa moja ya mawinga Bora dunian Sasa
Mm nashangaa wanataka kumtoa mkopo eti, huyo dogo akipaga zoezi wiki 2, atakuwa na impact uwanjan kuliko Anthony
Wazungu wapo strictly Sana kwa issue za kijinga ,walishaelewana na familia na demu wake ,lakin anabaniwa kurudi uwanjaniIle ishu ilinisikitisha sana. Nilisikia sijui ana kesi ya ubakaji nikawa naona noma hata kusearch jina lake ila nilikuwa namuombea kimya kimya iwe kasingiziwa tu kijana arudi uwanjani japo ni mchezaji wa mahasimu wetu.
Haswa kama mtuhumiwa na 'ethnic'.Wazungu wapo strictly Sana kwa issue za kijinga ,walishaelewana na familia na demu wake ,lakin anabaniwa kurudi uwanjani
Wazungu unaweza kuua mende ukapelekwa jela
Hawawez kumtoa mkopo kwa timu za EPL , timu za EPL zina ego ,Spurs wanasema Bora wamuuze hary Kane nje ya EPL ,ila ndan ya EPL hawamuuzi kirahisiHaswa kama mtuhumiwa na 'ethnic'.
Hivi unaonaje tukimchukua dogo Kwa mkopo abadili mazingira. Atoke uswazi Manchester aje London jiji la kishua?
Hapa tufanye umafia kama waliotufanyia Bayern Kwa Gnabry. Tunaongea na mshikaji wetu Ajax pale Amsterdam afanye mpango amchukue kwa loan with obligation to buy Kwa msimu mmoja na nyuma ya pazia tunawapa na mshiko kabisa afu wakishamnunua tu watuuzie sisi chaaapHawawez kumtoa mkopo kwa timu za EPL , timu za EPL zina ego ,Spurs wanasema Bora wamuuze hary Kane nje ya EPL ,ila ndan ya EPL hawamuuzi kirahisi