Ndio maana huwa nacheka Sana wanaosubiri Grazzer family wauze timuHawa wakongwe wana funbase kubwa sana
Kwa United nasubia tu maajabu. Arsenal mna kikosi kizuri ila bado sina imani na defence na midfield yenu.Ila mnanishangazaga Sana mbona toka pre season tuliwaambia na tuliweka ushahidi wa kimazingira ,kwanini tunaenda kugombea ubingwa
Maandiko yapo , audio kule space zipo
Msimu huu tumesajili zaidi ,haihitaji ramli kujua tunaenda kupigania ubingwa no matter what
Maombi yetu sisi wahafidhina wa football ,mancity aondokewe na Gundo Bernado mahrez , amebaki Bernado
Wanaochungulia mpira kwa jicho la 3 wanajua kabisa kuondoka kwa Gundo, mahrez na Bernado ni pengo kubwa Sana kwa city ,
Manjesta kitakachowaua ni depth ya kikosi ,
Niambie Casemiro aki drop au suspension zake zile au injury mna replace na Nan? Amrabat?
Kule mbele bado historia inaonesha Rashford Hana consistency yakueleweka na ndiye mbeba maono wa manjesta
Japo kiuhalisia kabisa
Arsenal, mancity , manjesta ndio favourite kwa kugombea ubingwa
Newcastle msimuhesabie kwanza ana michuano mingi pili Hana depth yakutosha ,halafu kule UCL wamemuweka pot 3
Kama umeangalia mech yao vs Atletico Jana utaona Kuna kitu kimepunguaKwa United nasubia tu maajabu. Arsenal mna kikosi kizuri ila bado sina imani na defence na midfield yenu.
Man City mimi naona kama shughuli yao imeshaisha. Akiondoka Bernardo watawashiwa moto mkali sana. Timu nyingi zinapocheza na City zinafungwa kwasababu ya uoga. Sasa makocha wakishaona wana mapungufu soon wataanza kupishana na Guardiola.
Nawe pia unafikiria kama mimiKwa United nasubia tu maajabu. Arsenal mna kikosi kizuri ila bado sina imani na defence na midfield yenu.
Man City mimi naona kama shughuli yao imeshaisha. Akiondoka Bernardo watawashiwa moto mkali sana. Timu nyingi zinapocheza na City zinafungwa kwasababu ya uoga. Sasa makocha wakishaona wana mapungufu soon wataanza kupishana na Guardiola.
Tusiseme tu kuwa analysis ya hara haraka kuwa kuna kitu kimepungua..we all know very well yule mzee kipara pep he is a genius master of mind games... WhyKama umeangalia mech yao vs Atletico Jana utaona Kuna kitu kimepungua
Gundogan,mahrez na Bernado ni ma game changer wakubwa ,Kuna mech kibao walizibadili hao jamaa
Thus why Pep anakomaa Sana hataki kumuachia Bernado wanamuomba angalau acheze msimu mmoja tu ,maana ndiye cheat code yake anacheza RW,RCM,LCM had false 9,
Winger ya Grealish na Foden ,haitishi Sana hasa kwenye ufungaji wa magoli
Binafsi naamini ukitoa mafanikio ya city ,Grealish angehesabika ni Flop mzuri tu,
Ukiweka Top 5 ya waliohusika kwa mafanikio ya city huwez muweka Jack
Pep anawekeza zaidi kwenye Kukaba ,ndio maana anamtaka yule jamaa Josko ,ila hataki kutoa €100mNawe pia unafikiria kama mimi
Huwa na baki na Mswaali mbali mbali hivi Guardiola anafikiria nini mpaka sasa yuko bize kumsajili yule beki yu
Kwamba
1 ameridhika kuondokewa na mahrez,gundo plus bernado yupo kwenye tetesi za kuondoka
What's the perfect replacement kwamba wata tegemea kdB foden mahrez alverz in all major competition...wakiumia jee
Kwamba kina plamer na lewis ndo watao wafikisha nchi ya ahadi
Mi nilitegemea wataanza kussumbua uko kwenye transfer market kutafuta quality players...wakua back up mfano
Nilisikia wanamtaka j.kimchi wa bayern...f.dejong wa barca hawa wangekua asset kubwa sana kwao ukiangalia na ushindan uliopo uko mbele hususani UEFA...kuna madrid ambao wao wawaza revenge.. Kwa walivo being demolished last season..hapo kwa maombi yao aje mbappe ili wamtafune city watoe aibu iliyo wakuta
2 elp jee kwa sasa tusiwe wanafki inaonekana arsenal yuko very favorite akifwatiwa na Liverpool na Manchester utd
Jee pep hawaofii hawa wahasimu wake wanaokuja kufanya mapinduzi ndani ya ligi...na chealsea pia hapo nilmsahau
1 September dirisha litafungwa tunategemea a massive spend among biggest teams toward competition ahead
Hatukatai mkuu , but lazima tusijifungie kwenye box , alibadilika round ya 2 baada ya round ya 1 mfumo wake kuwa open na wameujuliaTusiseme tu kuwa analysis ya hara haraka kuwa kuna kitu kimepungua..we all know very well yule mzee kipara pep he is a genius master of mind games... Why
1 its true kuwa city ka drop kiwango ila ile ilikuwa tu ni pre season game against dormund wakafungwa..mimi naa amini akutaka kwenda full force kwakuogopa majeraha ana ukiangalia the main man behind Halland success KDB yupo njee injury hio ina explain exactly why hawa kuwa very lethal against Dortmund
2 pia nimoja kati ya game approach sababu kituo kinacho fata kwake pep ni kombe la community shield against Arsenal hapa huwez tegemea akacheza very aggressive....huku akiwa 1 step behind a big game to play with a trophy to count
Hakuna kilichobadilika zile ni photoshops tu halafu kuna asilimia kubwa za Glazers kuendelea kuwepo,wakiiuza timu hawatapata nyingine ya kupigia pesa ya maanaSorry natoka out of point kidogo... Nilikuwa na uliza tu
Hivi ile budget ya 250m tuliyopewa na glazerz Haijaisha na kupitiliza kweli... Kuna tetesi zina sema mwarabu ana chomekea pesa za usajili kimya kimya kumpa nguvu ETH na usajili anaoufanya
Nikikangalia sajili yetu ya mwisho ya huyu dogo hojlund kupitia hio page hapo ya liveherewego inayomilikiwa na fabrizo wamempost dogo yupo ndani ya uzi wa man utd ikiwa na logo ya Qatar Airways
Na ukipitia comment nyingi humo aisee zina kupa hope kuwa kuna kitu kinaendelea na hatupo mbali na nchi ya ahadi Qatary reign (utawala)
Je... Kuna kitu kuhusu uuzwaji wa timu na mahala palipofikia fabrizo analijua na sie hatufahamu hadi sasa
Umeongea point ila kwa vile dirisha bado lipo wazi tungoje tuone ana vision gani hasa kweny implementation and execution ya current style yake ya uchezaji...ambayo wengi washa ijuliaHatukatai mkuu , but lazima tusijifungie kwenye box , alibadilika round ya 2 baada ya round ya 1 mfumo wake kuwa open na wameujulia
Lakin Anza game za mwisho ,hata ile fainal ya FA had UCL , utaona walishaanza kumsoma , kila mfumo una mapungufu yake
Yeye pep anasema aliamua kubadilika kwa sababu EPL walishamjua, Soma hapa
“I learnt this season when you play against Bukayo Saka, Vinicius Junior, Gabriel Martinelli or Mohamed Salah, you need proper defenders to win duels one-on-one. They need just one action to beat you. Nathan gave us a boost that we did not have in the past.”
Kwahiyo usitegemee na makocha wengine watakaa kizembe ,pia siku zote Pep anatembea Sana na Quality ya mchezaji
Narudia Gundogan mahrez na Bernado Hawa jamaa wamebadili matokeo ya city nyakati ngumu na muhimu
Dah... Kanakwamba hakuna vifungu vya sheria vitako wazuia kubadili mawazo sababu wanaweza waka disrupt market share na overall investors hawawez wakawa na kauli juu ya uwamuzi wenye tija juu ya maendeleo ya timu yaoHakuna kilichobadilika zile ni photoshops tu halafu kuna asilimia kubwa za Glazers kuendelea kuwepo,wakiiuza timu hawatapata nyingine ya kupigia pesa ya maana
Upo sahihi Hatuwez kumu underestimate hata kidogoUmeongea point ila kwa vile dirisha bado lipo wazi tungoje tuone ana vision gani hasa kweny implementation ya current style yake ya uchezaji...ambayo wengi washa ijulia
Ukiangalia mechi ya FA final dhidi ya man utd ilisha 2-1
Ile mechi man utd walienda jino kwa jino na man city ila i
Individual brilliance na qualify za wachezaji ndizo zilizo wabeb ikiwemo uwezo wa gundo ambae yupo barca sasahiv
Mechi ya uefa ilituonesha ni jinsi gani hutakiwi kumuogopa opponent wako haswa mkiwa kwenye live or die moment za kubebe kombe na hicho kitu inter walikionesha kwa kupambana sana pale kati walipachafua ila waliangushwa na umakini wa wafungaji ikiwemo lukaku na laturo martinez
Lastly binafsi ni mpenz wa soka zuri na kwa kumuangalia tunayemjadili hapa ni pep basi ana nipa kila sababu yakuto mu underestimate sababu huyu kwangu ni professor wa mind game kwa makocha wa sasa ana deserve respect ila sio kumuogopa kama awali... If we fight the we die like real men sasa hivi dhidi yake au yeyoto...respectively
Lets wait and see... Hii epl ya sasa hivi moto utawaka aiseeUpo sahihi Hatuwez kumu underestimate hata kidogo
Ila ili wengine wabebe na kumpa changamoto,dawa nikumfata huko huko juu ,
Jana baada ya ile mechi aliongea kuhusu kusajili alisema dirisha bado watasajili ,na target zao ni Olise ,Raphina na Enciso
Wamiliki wa Liverpool waliweka timu sokon baada ya presha kubwa , mwisho wakapiga U turn hawaiuzi na Hadi Sasa wapo wanaendeleza maujinga YaoDah... Kanakwamba hakuna vifungu vya sheria vitako wazuia kubadili mawazo sababu wanaweza waka disrupt market share na overall investors hawawez wakawa na kauli juu ya uwamuzi wenye tija juu ya maendeleo ya timu yao
Yani kuwe na misimamo sio tu mtu ana amka ansema anauza biashara then anavo anza ona biashara yake inanawili ana badilika ...hii ni unprofessional sio kwamba we hate them ila ni vizur professional waka fata protocol ambazo zitawa please ma fans ...mwisho fans ndio wamiliki wakuu wa team na ndio wanaotaka mapinduz juu ya uongozi uliokuwepo wa sasa