christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,199
- 5,132
Kabisa mkuu dogo mimi huwa namtizama kwa jicho hilo mara nyingi akitoka uwanja unainama sababu mabeki wanakuwa huru sana refer ile mechi na Arsenal alivyotoka tu Zenchenko akaanza kupanda na kutoa assist.Antony pamoja na kuwa hana hatari kiasi hicho ila ni msaada kwetu kwa ule upande Sancho au Rashford hawakabi wakicheza kule, pili beki timu hawezi kupanda kushambulia kama akiwepo Antony upande ule hiyo ni faida kwetu
Nilichogundu washabiki wengi wanatupia mchezaji mmoja mmoja lawama kwa kuwa timu huwa haishindi, ila timu ikaanza kucheza kitimu na kushinda huwezi kuona hizi lawama.
Man u tumekuwa na matatizo yetu ambaye yamechangia kuua viwango vya wachezaji, Sancho, Martial, Antony, Maguire, Van Debeek walikiwasha kule walipotoka kwa nini kwa man u wamefeli? Binafsi naona tatizo lilikuwa mfumo wa uchezaji na ulichangiwa na kipa. Tusubiri msimu ujao.


- flopped