Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Tatizo unaongelea mambo bila reasoning. EtH akiamua kuwa against Glazers itabidi afukuzwe.It means he is Glazer's puppet, anafanya vitu ambavyo ana agizwa na Glazers ambao ni mabosi wake, kama tuna amini Glazers hawawezi kutufikisha nchi ya ahadi so is SevenHag
Sio aliitwa, "Alikua" ndio maana hakuna la maana alilolifanya kwenye carrier yake ya ukocha zaidi ya kuishusha daraja Cardiff
Ronaldo ali sacrifice kazi yake sababu ya utd, kitu ambacho SevenHag kashindwa, Aliongea ukweli kuhusu uendeshwaji wa club, miundo mbinu iliyo kuwepo enzi za kinjekitile ndio bado ipo hadi leo, pesa zinaenda wapi? Hapo ndio ilikua golden chance kwa wachezaji na staff wengine kumuunga mkono Ronaldo, Glazers hawawezi kufukuza wachezaji wote na staff at once, mikojo inavuja vyooni ovyo, mashabiki wanaoenda uwanjani wana lalamika lakin kocha anakuambia ana iman na wamiliki, tutakuja kushtuka OT yamebaki magofu.
Glazers ndiyo wamiliki wa timu. Wana haki ya kuuza au kutouza timu kwa hiari yao wenyewe.
Let say EtH angekuwa pamoja na Ronaldo kuwasema Glazers means na yeye angekuwa ameshafukuzwa.
Kwa maana hiyo kwa ule muda toka Ronaldo kaondoka angekuja kocha mpya ambaye bado angekuwa chini ya Glazers maana timu bado haijauzwa mpaka leo. Kwahiyo kocha mpya naye unategemea asingewasikiliza waajiri wake ili afukuzwe? Au angekaa kimya na huyo ungemuita "Glazers puppet" siyo?
Unaposema wachezaji wangekuwa na nia moja kama Ronaldo unajua namna mikataba inavyofanya kazi?
Breach of contract ndiyo kitu kilifanya Ronaldo aonyeshwe mlango wa kutokea.
Ni rahisi sana kumuita kocha "Glazer's puppet" au kuwa against Glazers kwasababu wewe au familia yako haitakuwa affected EtH akifukuzwa kazi.