hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Chelsea kabla ya 2005 ilikuwa timu ya kushika nafasi 5-10Back 2005 kwamba wanakuja kutishia tena amani EPL ama
Nikiangalia kikos Chao Sasa pamoja na kutumia £600m unaona bado kabisa ndio wanaharibu
Yote hayo ni huyo mmarekani ,na Jana kamfukuza member mmoja ,kwa jins anavyoiendesha klabu unaona imepoteza nguvu ya ku compete
Thus why Di zerbi anawa mock