Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1690028538651.png
 
Ten Hag: “We really looked into the history of #mufc and we really looked also into the qualities of our players. And then you can say, so what do we want to be?
That is, we want to be the best transition team in the world. We want to surprise.” [MU]
 
Write your reply...Zanzibarian..

kwa mantiki hiyo ya "United Way" wamlete sasa Kylian Mbappe
Hatuna uwezo wa kumbeba Mbappe kwa sasa hadi timu hizi Man City,Newcastle na Real Madrid na kidogo Chelsea wanaweza kujitutumua bosi wao mkwanja anamwaga tu.

Zaidi ya hapo kama ataondoka bure mwakani sipati picha vita ya kumpata ndani utawakuta hizo timu juu na Arsenal ndani.
 
Wazee wa ngwasuma tunaludi Tena kwa Mara nyingine kugawa burudani majirani wote karibuni sana.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]

Prediction

Arsenal 2 vs Manchester United 4

Wenger orphans wanachocheza nacho hamkijui hakika kitawaramba [emoji39]
Screenshot_20230722-093239.jpg
 
Hatuna uwezo wa kumbeba Mbappe kwa sasa hadi timu hizi Man City,Newcastle na Real Madrid na kidogo Chelsea wanaweza kujitutumua bosi wao mkwanja anamwaga tu.

Zaidi ya hapo kama ataondoka bure mwakani sipati picha vita ya kumpata ndani utawakuta hizo timu juu na Arsenal ndani.
Kumleta mbappe kwa timu yako nikutafuta matatizo mengine tu

Huyo aende Madrid pale hawez kuwababaisha
 
Wazee wa ngwasuma tunaludi Tena kwa Mara nyingine kugawa burudani majirani wote karibuni sana.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]

Prediction

Arsenal 2 vs Manchester United 4

Wenger orphans wanachocheza nacho hamkijui hakika kitawaramba [emoji39]View attachment 2696193
[emoji1787][emoji1787] mech ya Leo naenda hasa kuangalia tactics ,je mmebadilika ,je viungo wenu ambao hawawez kukaa na Mali wanachezaje au 7hag ata keep possession kwakutumia backline

But naona mkishindwa kukaa na Mali Basi 4+ inawahusu
 
Kumleta mbappe kwa timu yako nikutafuta matatizo mengine tu

Huyo aende Madrid pale hawez kuwababaisha
Ndio hapo ukiachana na kipesa wasiwasi nyingine ni kuvuruga dressing room mfano halisi baada ya World Cup PSG wamefungwa game za kutosha na vitimu vyeny uwezo mdogo sana kwao tena kwa kufululiza hapo lazima ujue kuna kitu hakipo sawa.

Kwa Man United wasije kujaribu itakuwa ni mistake kama ile ya kumleta Ronaldo 2021.
 
Confirmed #mufc sales so far:

[emoji3502]Zidane Iqbal - £857k [emoji3] [emoji3591] FC Utrecht

[emoji3502]Ethan Laird - £750k [emoji636] [emoji3591] [emoji636]

[emoji3502]Tahith Chong - £1m [emoji3] [emoji3591] [emoji636]

[emoji3502]Anthony Elanga - £15m [emoji3] [emoji3591] [emoji636]

[emoji3502]Alex Telles - £4m [emoji3] [emoji3591] [emoji1210]

[emoji383] Total Estimated Profit: ~£22m

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230722_173401_614.jpg
 
Who's the first player that comes to mind when you see the 2020/21 away shirt?

Me:- CAVANI

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230722_173150_758.jpg
 
[emoji599] #mufc are interested in Leon Goretzka. Erik ten Hag believes he's a very interesting player. “Something could be ongoing in the background”.

[SPORT1]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230722_173041_526.jpg
 
[emoji1702][emoji837]

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230722_173037_241.jpg
 
Back
Top Bottom