Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Goli 2 haraka hivi aaah
Ujawai kubali kuwa nyie ni wapiga kelele tu timu amna hapo sio muda mtajua rice mmepigwa 😁😁Mtadanganyika mna timu
Dogo amekula sahani zote za WALIView attachment 2696619 mods hakuna namna ikae kama wallpaper ya thread ili hawa mashabiki wa arsenane wapoteane kama kiungo chao
Ingia twitter kuna highlights za kutosha za dogo mkuuDaah..usingizi umenicost sijaangalia game..
Naona Mainoo anasifiwa sawa,kumbe declan £100m rice aliwekwa kwenye mfuko??
Tweeter account gani mkuu?Ingia twitter kuna highlights za kutosha za dogo mkuu