hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Wewe unachuki zako tuMkuu hivi inawezekana team ukawa huipendi lakin kutwa 24hrs unaiongelea?
Binafsi naona haiwezekani wewe utakuwa unaipenda Man U.
Kule Arse8 kwenu huwa nakuja mkifungwa tu napotea hata miezi miwili ndio narudi.
Litimu lenu halivutii mashabiki ni kama city tu kachukua treble lakin hamna anaewafuatilia kabisa.
Wenzio wanakuja kule na sisi tunakuja huku
Vumilia tu