Astonvilla ana timu strong na kocha mzuri mwenye mbinu kuliko manjesta
Huu Ni ukweli mchungu ambao anatakiwa mtu awaambie
Astonvilla ana CBs Bora kuliko manjesta
Ana viungo wazuri kuliko manjesta
Ana attacking line Kali kuliko manjesta
Emi Martinez , Pau Tores ,Diego Carlos , Moreno , Douglas Luiz, Tielemans, Watkins, Bailey , Ramsey
Hao jamaa wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wa manjesta kina Fred vunjabei, magwaya , Bisaka,mount , Anthony masebene,Sancho kibonge, n.k
Unai Emery ana mbinu kuliko 7hag
View attachment 2684560