Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,360
- 33,775
LB na RB waliopo hawatufai ?Juzi niliandika hapa kuwa tunaenda pre season hatuna GK, hatuna striker, hatuna RB wala LB, katikati tuna Casemiro pekee, kuna Mwendawazimu mmoja alikuja juu sana kwamba tayari tumesha msajili Onana, kiko wapi?????? Leo tuna Leeds