Tulia kijana wazee wa ngwasuma tuoneshe show.7hag anafundisha Haram football
Hakuna mipango ,ni uviziaji tu
Hahaha angalia hapa ,manjesta ana mpira lakin formation haijulikan ,dimba jeupe kabisaTulia kijana wazee wa ngwasuma tuoneshe show.
Arsenal tumejipanga ,safarri hii tunabeba had world cupEpl domination for 10 consecutive seasons
UEFA is loading[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mnafikiri UEFA ni kama kilimo cha matikiti?
One season wonder anajidanganya atadominate Epl for 10 consecutive seasons[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mashabiki wa Arsenyo siwalaumu sana, wakulaumiwa ni hamis77 anaewaaminisha ubingwa kwa huo mchanganuo wa kilimo cha matikiti.
Hali ni mbaya SanaMnaoangalia game vipi huko Kuna maendeleo yoyote au pasi mbili tumegawa mpira.
AiseeHali ni mbaya Sana
Kobie maino ndio anajitahidi
Mount huyu tumepigwa
Sancho kitambi kinamsumbua anakosa magoli ya wazi
Tusubiri onana kuchezea magoli kwa ukabaji huu
Ila nyinyi mnaozagaa zagaa humu kama nguchiro wenye njaa siyo mashabiki wa Man United ?Hii project ya arteta itavuta nyumbu na Kenge wote
Wewe ujiulizi Flano muda wote yupo Kule the Gunner kiumeni
Amefikia hatua anaiwaza arsenal NDOO kuliko unyumbuni
Tuliza nyege kijana unawashwa nnHali ni mbaya Sana
Kobie maino ndio anajitahidi
Mount huyu tumepigwa
Sancho kitambi kinamsumbua anakosa magoli ya wazi
Tusubiri onana kuchezea magoli kwa ukabaji huu