Kuna dalili za kuondoshwa kabisa maana yule bwana ni kama kasahau mpira
Hata timu lenu bovu tu kumaliza nafasi ya 2 msimu uliopita mshajikuta Barcelona kumbe wakati ni wa mchangani tu mngekuwa na kombe la UCL tungewaona wakubwa.Shida kuu ni kucheza Manyumbu FC


Hata timu lenu bovu tu kumaliza nafasi ya 2 msimu uliopita mshajikuta Barcelona kumbe wakati ni wa mchangani tu mngekuwa na kombe la UCL tungewaona wakubwa.
Hiyo ni masikini akipata![]()
Si ndiyo hivyo man. Sisi ni kama wasanii wakubwa wa bongo hapa waliosota mtaani halafu wakapanda chati. Mtu hata kiwanja hanunui na kujengwa hata kibanda cha udongo, anapanga sinza na kutoka na kila slay queen anayejilengesha.
Tofauti ya Arsenal ni sisi tuna historia ya kuvutia ambayo tuliivuruga hivi karibuni ila Sasa inaanzo kuonekana kama Inarudi. Zile enzi za Kila mchezaji kusema ni 'dream' yake kuichezea arsenal zitarudi upya tukiendelea kuperform hivi


Historia ipi ya kuvutia? Historia ipi ya kuvutia?
Historia ya miaka 20 bila kombe la ligi au ile ya miaka 8 mtawaliwa bila ya kuingia top 4?
View attachment 2684549
Shida kuu ni kucheza Manyumbu FC
Kamati ya roho mbaya.De gea anaondoka magwaya anabaki
Na nyumbu wote mmelifumbia macho hili swala, kana kwamba it's okey
Casimiro, ericksen bruno, Fred
Hiyo ndio midfielders mnayoenda kuanza nayo kwenye ligi.
Alafu nyumbuz mnaseme ligi ianze tu.![]()
Ukimwambia shabiki wa manjesta,niwekee lineup yako yakwenda kutamba EPL msimu huuUshawahi kuwaona mapolisi wenye miili na vitambi mpaka unajiuliza 'huyu ataweza kumkimbiza mhalifu kweli?'. Sasa ndiyo huyu bonge eti naye ni winger


Tungelinganisha pia stats za Rashford pia msimu wa 2021/22 tungesema hamna kitu ila shighuli yake nyie wenyewe mmeiona msimu huu. White na Ramsdale walilambishwa nyasi kama watoto wadogo.Huyu jamaa Ni utapeli mkubwa hawezi kuvuka goal 5 msimu huu
Anazidiwa takwimu na Kiungo mkabaji aliyecheza timu inayozuia
View attachment 2684558
Kwakutetea ujingaTungelinganisha pia stats za Rashford pia msimu wa 2021/22 tungesema hamna kitu ila shighuli yake nyie wenyewe mmeiona msimu huu. White na Ramsdale walilambishwa nyasi kama watoto wadogo.
Stats zimeharibu watu siku hizi. Overall game Antony kajitahidi msimu huu bila kuwa na RB wa uhakika, hii nahisi pia ni tatizo kwa Sancho (alipokuwa BVB alicheza na Hakimi).
Usajili wa Mount naona ukienda kumnufaisha Antony.
kajitahidi Nini ?Wala siyo mikwara. Tatizo la hiyo quote kuna maneno muhimu yametolewa. Media huwa zinapenda kuandika vitu tofauti na kile kilichosemwa.Nitajie Kocha aliyekuja na mikwara kama Ten Hag kwenye EPL?View attachment 2684578
Mimi naangalia mechi siyo stats. Ili timu ifanye vizuri lazima wawepo wachezaji 11 uwanjani. Kila mchezaji ana mchango wake.Kwakutetea ujinga
Yule Anthony masebenekajitahidi Nini ?
Winger kwa €100m ,goals 4 sawa na DM , na mabeki unasema kajitahidi kipi?