Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa mbona tumeshika nafasi ya 3 mzee ?
Kama tungekua tumeshika nafasi ya 4 hoja yako ya Brighton ingekua na mashiko.

NB: Maana yangu ni kwamba kwa kuwa tulishika nafasi ya 3, zilihitajika timu mbili kutuondoa kwenye top 4, badala ya hiyo moja uliyoitaja.

Kama yeye huyo Brighton kweli angekua good enough na kushika nafasi ya 3, basi sisi tungeshika nafasi ya 4 (still in top four) maana tulimzidi Newcastle points (tungemsogeza namba 5).

Vinginevyo njoo utaje wazembe wengine wote waliosababisha sisi tumalize ndani ya nne bora.
Hadi utakapofanya hivyo, acha kumuonea (kumbebesha zigo) Brighton.
Kwanza Hawa mafisi wanaotuita nyumbu. Sawa hatukatai maama sisi ni dunia nzima.

Maana yangu nikwamba sisi nyumbu tupo kibao, fisi wanahangaika na maisha wanatuandama Kila kitu wanahusika wanatusaidia ktk biashara.

Sisi tulihitaji kuwaondoa majinga hapa Old Trafford na tungeshindania ubinngwa.
 
wachezaji wanaota vitambi tu

IMG_20230709_201349.jpg
 
Hakika mpira Ni mchezo wa wazi

Mechi Moja ilitosha kuamini hapa hakuna mchezaji wa €100m Bali Kuna udalali tu

Anthony masebene
IMG_20230709_194700.jpg
 
Si hiyo tu ilifika mahali hata wenzake wakawa wanaogopa kumpa pass maana wanajua atazingua. De gea mpaka akawa anachukia

Huyu jamaa ni liability
Hana mnyumbuliko kabisa
Mtu anacheza mpira ananyooka kama mlingoti 😁
 
hamis last season united ina mafanikio kuliko arsenal yenu, next season hyo kombe la nafasi ya pili tunawatoa....arsenal ilikuw ni bahati km ilivotokea kwa Leicester 2015
 
hamis last season united ina mafanikio kuliko arsenal yenu, next season hyo kombe la nafasi ya pili tunawatoa....arsenal ilikuw ni bahati km ilivotokea kwa Leicester 2015
Jidanganyeni ,Arsenal haichez kwa kubahatisha ,mpira mchezo wa wazi

Manjesta hii ichukue nafas ya 2? Bado unahitaji misimu miwili zaidi Tena inategemea na 7hag anakujaje maana msimu uliopita Kama alikuwa anabahitsha ,mech nyingi Degea kawaokoa ,na aombe Rashford awe Katika form ile ile kitu ambacho sio rahisi

Arsenal tulishachukua FA NA CS mbele ya pep na Klopp lakin hatukuona mafanikio ,Bali tumejenga competetive team ambayo imeongezwa Tena nguvu .
 
Kwamba Arsenal ni competitive team!? 😂

Pale Arsenyani ukitoa Saka, Ødegaard, Rice, Timber na Trossard wengine wote ni wachezaji wa kusogeza siku tu.
 
Kwamba Arsenal ni competitive team!?

Pale Arsenyani ukitoa Saka, Ødegaard, Rice, Timber na Trossard wengine wote ni wachezaji wa kusogeza siku tu.
Manjesta Kuna timu gan ya maana Sasa hivi?

Hapo Unyumbuni wachezaji wanaokaa bench Arsenal wanaanza first eleven yako

Nelson , Trossard , Nketiah ,tomiyasu, n.k

Winger zako zote pale Arsenal hata bench hazikai huu Ni uhalisia sio utani

Thus why wachezaji wa Arsenal Wana thaman kubwa kuliko manjesta ukiwaweka sokon mmoja mmoja

IMG_20230708_142059.jpg
 
Kwamba Arsenal ni competitive team!?

Pale Arsenyani ukitoa Saka, Ødegaard, Rice, Timber na Trossard wengine wote ni wachezaji wa kusogeza siku tu.
Huogopi? Angalia bench hapo hao manjesta wanaanza ila first eleven yako hata bench kwa Arsenal anaweza kuanza mmoja au wawili au wasianze kabisa , jengen timu achen maneno ,

NB: sub Partey or Lavia
IMG_20230630_182038.jpg
 
Huogopi? Angalia bench hapo hao manjesta wanaanza ila first eleven yako hata bench kwa Arsenal anaweza kuanza mmoja au wawili au wasianze kabisa , jengen timu achen maneno ,

NB: sub Partey or Lavia
View attachment 2683461
Tukienda na ukweli hivi hapo Arsenyani ni nani anamuweka Bruno bench, usiseme Ødegaard 😁 Havertz hawezi hata kumuweka Eriksen bench, Casemiro kazi yake inajulikana, hiyo defence yenu yote kwa United wanasubiri (ushahidi upo, last season nyie ndiyo mmeruhusu magoli mengi kuzidi United 🤣) Martinelli hakai hata bench maana ni Rashford na Garnacho anachukua nafasi yake.

Hapo Arsenyani wachezaji ambao wanaweza kuingia kwenye hiki kikosi cha United ni Saka na Rice ila Ødegaard, Rice na Timber pia wanaweza kujumuika, hao wengine jifarijini tu. United mfumo ukikaa sawa Arsenyani mnasubiri sana na hapa bado kuna watu kama Sancho, Lindelof, Bissaka, Malacia, Eriksen, Amad, Greenwood.

Halafu Timber mnamuweka bench kwa mabeki gani ambao mnao Arsenyani? 😂
formation_09_07_2023_ 23_55_12.png
 
Back
Top Bottom