Onana ataipata habari kwa hary magwaya
Magwaya hajawai kutuangusha
Ipo hivi, Onana ni mzuri kuanzisha mashambulizi.
Kwaio lazima mabeki wawe comfortable kwenye kupokea mipira na kuanza mashambulizi. Swali la kujiuliza aina hiyo ya mabeki mnao? Jibu baki nalo
Kwenye saving, de gea anaeondoka na Onana anaekuja Nani ni mzuri? Jibu baki nalo
Tatizo kubwa la nyumbu ni kipa au kiungo na mabeki? Jibu baki nalo
Hadi dakika hii mnajua 7hag anacheza mtumo gani na msimu unaokuja anaingia na mfumo gani kwa wachezaji gani? Hapa hamna majibu, coz ata 7hag yeye mwenyewe hajui yupo na mfumo gani
Usajiri uliofanywa na 7hag tangu aingie
Anthony
Ganacho
Martinez
Eliksen
Casimiro
Totatl spending was €250m+
Swali, ata wewe ungekua mdhamini wa timu alafu unaambiwa uachie timu ungekubali? Jibu baki nalo
Antony mmepigwa au hamjapigwa?. Hapa jibu nawapa MMEPIGWA