Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Si ndiyo hivyo man. Sisi ni kama wasanii wakubwa wa bongo hapa waliosota mtaani halafu wakapanda chati. Mtu hata kiwanja hanunui na kujengwa hata kibanda cha udongo, anapanga sinza na kutoka na kila slay queen anayejilengesha.
Tofauti ya Arsenal ni sisi tuna historia ya kuvutia ambayo tuliivuruga hivi karibuni ila Sasa inaanzo kuonekana kama Inarudi. Zile enzi za Kila mchezaji kusema ni 'dream' yake kuichezea arsenal zitarudi upya tukiendelea kuperform hivi


Historia ipi ya kuvutia? Historia ya miaka 20 bila kombe la ligi au ile ya miaka 8 mtawaliwa bila ya kuingia top 4?

