Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ETH akiweza kupandisha viwango vya mchezaji kama sancho, anthony, mount, bissaka, martial, rashford awe na mwendelezo, bruno awe bora kama kawaida, na mabeki lindelof kiwango kiongezeke na confidence.
Then asajili onana na striker mpya, na beki mmoja wa kati....
ETH yuko makini na kila mechi anaichukulia serious.
Aongeze morali ya wachezaji.
akiongeza viwango na motisha tuna squand pana na bora kuliko timu zote isipokuwa man city tu EPL...
hao kina hamis na wengne wengi ni haters tu na maneno mengi but sisi ni bora kuliko hao 2nd wa 2022/2023 na last season overall assessment sisi tumefanikiwa kuliko arsenal lakini wao wamefanya improvement kubwa kuliko Sisi ndio maana hata wao wako excited na last season sababu ni rapid improvement walioifanya inawapa over confidence na kusema sana.
But ETH ni bora na next season ttakuwa bora sana....trust
Mtoe Martial kwa hiyo list huyo hata Pep hawezi kumbadilisha.
Rashford ni mtu wa kuenda na upepo sana akiumia hata game 2 tu kiwango chake kinarudi default settings
Sancho kocha kampeleka hadi Uholanzi akae sawa ila bado magumashi
 
Tunaenda Kuanza pre season hatuna GK, hatuna striker, kwenye kiungo tuna Casemiro tu, na beki tuna Martinez na Varane pekee alafu tunaongea kuhusu top four? We'll be luck to finish ndani ya top ten
Acha umama nani kakwambia tunaenda bila kipa wakati wiki ijayo dili la Onana linakamilika

Au unadhani kipa ni Maguire
 
Inahitaji akili kwenda sawa na mashabiki wa timu pinzani

Katika watu wanafiki na wasio na msimamo ni hawa jamaa zetu wa pembeni.

Miaka hii iliyopita wakati sisi tunampamba De Gea kwa ubora wake wao walikuwa wanasema ni mbovu tunamkuza tu na wakatumia kigezo chake cha kuachwa timu ya taifa nyuma ya Kepa.
Ila sasa hivi wakati mioyo ya baadhi ya wana United imebadilika pamoja na mtazamo wao wanaanza kusema eti tumekosea kumuacha ni World Class mara tumetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa.

Hawahawa pia wakati Pogba anarudi 2016 tulikuwa tunampamba wao wakawa wanaponda kila siku kuwa tumetapeliwa,ila baada ya mashabiki wa United kuanza kumkataa wao eti wakawa wanasema ni bonge la mchezaji ila timu ndio mbovu,maybe!

Ilikuwa hivyo pia kipindi Maguire anasajiliwa wakawa wanasema ni beki mbovu sana Leicester wametutapeli na wakati huo ilikuwa tunamsifu hakuwa mbovu alikuwa katulia,ila baada ya sisi kuanza kumkataa wakaanza oh Maguire sio beki mbaya timu yetu ndio mbovu tunamfanya scapegoat tu.

Na tusishangae kipindi tunamkataa Antony wao wakasema ana ubora kama wa Salah ila timu ndio inamuangusha

Anyway hii ni kawaida yao wanafanya juu chini tupishane nao kimtazamo,hawana msimamo hadi unaanza kujiuliza jinsia zao halisi ni zipi

Tuwavumilie tu
 
Labda injuries zitapungua
Screenshot_20230709_135103_Threads.jpg
 
Sasa naelewa kwanini nyumbu huwa wanahasira za karibu na wengi wao hukimbilia kujinyonga

Nyumbu mnatimu Bora na yenye build up inayoeleweka kuliko
Brighton, aston Villa, Fulham, N. Forest,?

Butua twende tukutane mbele mmeingia top four kwa sababu ya uzembe wa Brighton
Upo sahihi gaygooner

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
Inahitaji akili kwenda sawa na mashabiki wa timu pinzani

Katika watu wanafiki na wasio na msimamo ni hawa jamaa zetu wa pembeni.

Miaka hii iliyopita wakati sisi tunampamba De Gea kwa ubora wake wao walikuwa wanasema ni mbovu tunamkuza tu na wakatumia kigezo chake cha kuachwa timu ya taifa nyuma ya Kepa.
Ila sasa hivi wakati mioyo ya baadhi ya wana United imebadilika pamoja na mtazamo wao wanaanza kusema eti tumekosea kumuacha ni World Class mara tumetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa.

Hawahawa pia wakati Pogba anarudi 2016 tulikuwa tunampamba wao wakawa wanaponda kila siku kuwa tumetapeliwa,ila baada ya mashabiki wa United kuanza kumkataa wao eti wakawa wanasema ni bonge la mchezaji ila timu ndio mbovu,maybe!

Ilikuwa hivyo pia kipindi Maguire anasajiliwa wakawa wanasema ni beki mbovu sana Leicester wametutapeli na wakati huo ilikuwa tunamsifu hakuwa mbovu alikuwa katulia,ila baada ya sisi kuanza kumkataa wakaanza oh Maguire sio beki mbaya timu yetu ndio mbovu tunamfanya scapegoat tu.

Na tusishangae kipindi tunamkataa Antony wao wakasema ana ubora kama wa Salah ila timu ndio inamuangusha

Anyway hii ni kawaida yao wanafanya juu chini tupishane nao kimtazamo,hawana msimamo hadi unaanza kujiuliza jinsia zao halisi ni zipi

Tuwavumilie tu
Arsenal fans, hawawezi kutoa hoja zao bila kuweka utoto na ujinga ujinga ndani, wao kila kitu nikuponda bila facts ukizingatia hakuna wanachotuzidi katika mafanikio.
 
Arsenal fans, hawawezi kutoa hoja zao bila kuweka utoto na ujinga ujinga ndani, wao kila kitu nikuponda bila facts ukizingatia hakuna wanachotuzidi katika mafanikio.
Hao kushiriki UCL baada ya miaka 6 tayari wanajjkuta level ya Man City kututambia ujinga wakati hata UEFA hawana wamekalia kelele tu hao washika ukuta wa London
 
Safari hii na uhakika tunabeba points 6 kwa manjesta hii ya kina onana

Na uhakika huo

Tarehe 22 wiki mbili zijazo tutawapa advertise

Mechi ya 4 tupo na nyie Emirates
 
Kwanini vilabu vya uingereza na ulaya kwa ujumla huwa hawajishughulishi sana na masuala ya usajili kwa siku ya jumamosi na jumapili?
Glazers kwa siku za Jumamosi na Jumapili hawafanyi kazi, inapofika Ijumaa kila kitu kinasubiri mpaka Jumatatu.

Huo ni utaratibu wa United sijajua kwa vilabu vingine.
 
Back
Top Bottom