Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiyo Ni michezo ya mancity Katika kubalance vitabu vyao ,bado mancity anatafuta engagement kwenye soko la ku spend asionekane mchafuzi,

Unaweza kuta Ni kweli anauzwa hiyo Bei lakin inalipwa miaka 10, kwenye vitabu huku city anaonekana kauza kwa £19m ,mwisho aonekane kauza jumla £100m


Klabu Kama hizo zinaitwa PLASTIC CLUB na zinazalisha PLASTIC FANS , na huwa Kuna muda utafika zinarudi ziliotoka , hata Chelsea inarudi ilipotoka
 
Mmmaaamae halafu sisi tumemuuza Zidane Iqbal kwa kiasi cha chini ya £m1
Acha kulalamika,mancity anatafuta engagement angalau miaka mitatu au minne aonekane anafanya mauzo mazuri ya wachezaji , ndio maana unaona hanunui Sana ila anajifanya anauza had £100m lakin Ni vitoto vya academy ambavyo hata havijawahi kucheza mechi 1 ,

Baada ya UCL kuanza kumtilia mashaka amekuwa anasajili kidogo lakin anajifanya anauza Sana , ili uefa wapunguze kumuhisi anacheza uhuni

Hata msimu huu subiri uone ,atauza hao watoto kwa Burney na Soton ambapo ndio mashimo yake ya kufichia taka

Halafu atasajili mtu mmoja kwa €100m

Mancity bado Hana Uwezo wakusajili kwa fujo bila kuuza ,hivo lazima afanye rafu ,itamchukua hata miaka 10
 
Simuamini sana huyu mpiga kelele na jarida lake la habari za jioni za jiji la manchester bwana samuel luckhurst.

Greenwood kutolewa kwa mkopo nje ya uingereza ni uamuzi bora
----------
John Murtough has held extensive talks with Atalanta officials and has discussed a possible deal to sign Rasmus Hojlund and loan Mason Greenwood to them. [Samuel Luckhurst].
 
Erik ten Hag has certainly been pivotal to the decision where #mufc have taken the deal that had been agreed off the table for David de Gea and are now pursuing Andre Onana for the no.1 spot.
[@lauriewhitwell, TOTD]

========
Niliwahi kusoma sehemu zamani kidogo, nafikiri alikuwa ni mmoja kati ya wasaidizi wa louis van gaal nyakati zile.

Yule bwana alisema david de gea ni mwanadamu mgumu kubadilika (mjuaji).

Uamuzi aliouchukua luis enrique dhidi ya david ulipaswa kuwa ni onyo kubwa sana kwake lakini alipuuzia.

Uamuzi wa kuachwa kwa joe hart na josep guardiola nao hivyo hivyo ulikuwa ni alert.

Uamuzi wa kuachwa mendy na chuck norris nalo pia ni onyo kubwa kwa degea lakini alipotezea.

Mashabiki wa man utd hatujawahi kuwa na furaha kwenye mipira ya kona.

Simuonei huruma david de gea japokuwa ni mchezaji nimpendaye mpaka kesho.
 
£12m ya 2003 siyo pesa ndogo. Mchezaji kama Beckham aliuzwa kwa £25m
 
Mpira wa statistics tu ni uongo. Hojlund anachozidiwa na Haaland ni kwenye mipira ya juu na mikimbio tu ila kwa umaliziaji wanawiana na Hojlund ana kasi zaidi pamoja na kutembea na mpira. Haaland ni goal poacher, ni profile tofauti na Hojlund.

Pale United hakuna mtu anafikia umaliziaji wa Hojlund. Kama Martial aliweza kufunga 20+ goals kwenye timu hii sioni Hojlund akifeli.
 
Sijakataa potential ya Hojlund ,hata Arsenal tulimuhitaji

Tatizo hapo Ni hiyo Bei , Huyo sio wakuuzwa €100m
 
Sijakataa potential ya Hojlund ,hata Arsenal tulimuhitaji

Tatizo hapo Ni hiyo Bei , Huyo sio wakuuzwa €100m
Siyo mchezaji wa €100m nahisi ni taarifa za uongo tu.

Hakuna timu italipa €100m. Thamani yake haizidi €50m
 
Na nyie sio muda mtaanza kupiga kelele kwa mchele mmepigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…