Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ile namba huwa kama vile ina laana. Ronaldo alivyoiacha 2009 wachezaji wote walioivaa baada yake hawakufanya vizuri.

Labda alivyorudi mwenyewe kaitolea gundu. Ila Cavani alipiga nayo kazi vizuri tu.
Hiyo namba nashangaa wanaolia kutopewa Garnacho,mimi naona afadhali.

Kuna wachezaji bora capable wameflop vibaya na kufeli na hiyo namba bora afeli Mount ambaye hata sisi hatumuamini kuliko kummaliza kijana Garnacho na presha mapema sana kwa umri wake hiyo jezi ni nzito sana.

Hatutaki kumpoteza kipenzi chetu toka Academy tukaishia kukumbuka ya akina Januzaj
 
Screenshot_20230705-155332.jpg

Hatimaye
 
Hiyo namba nashangaa wanaolia kutopewa Garnacho,mimi naona afadhali.

Kuna wachezaji bora capable wameflop vibaya na kufeli na hiyo namba bora afeli Mount ambaye hata sisi hatumuamini kuliko kummaliza kijana Garnacho na presha mapema sana kwa umri wake hiyo jezi ni nzito sana.

Hatutaki kumpoteza kipenzi chetu toka Academy tukaishia kukumbuka ya akina Januzaj
Mashabiki huwa wanalia vitu vya kijinga sana, hasa kule Twitter. Yani mtu anaumia kabisa Mount kupewa #7 kisa Ronaldo aliwahi kuivaa.

Wamevaa wakina Owen, Sanchez siyo ajabu Mount kuivaa.
 
Dili la Mount limeonyesha ni jinsi gani hatupati taarifa zote kuhusu usajili.

Video ya Mount kuwaaga Chelsea imerekodiwa mwezi 1 uliopita.
Watu huwa walalamishi tu ,ila sisi wafatiliaji wa usajili huwa tunajua kinachoendelea mpaka deal done

Inaweza kuchukua wiki 2 clubs zinajadili add ons tu ,

Ila mashabiki wanadhani usajili Ni kama vile unavyofanya kwenye FIFA mode au kununua Mitumba pale Karume
 
kwa nini siku ya mwisho ya usajili tunashuhudia dili linamalizwa kwa siku moja?
kwa mantiki hiyo huoni ya kwamba vilabu vinajichelewesha makusudi kufanya usajili kwa haraka
Hizo huwa ni panic buy ,but Kama klabu inataka kufanya Usajili makini kwakuzingatia details mbalimbali atafit vipi kwenye timu, gharama isiwe kubwa , n.k lazima usajili uchukue muda

Ndio maana panic buy nyingi zinafeli au unapigwa Bei kubwa
 
MOUNT .......Jezi namba 7,Tunacho subiri kuona ni Masimango na Kejeli tu league itakapoanza.
 
Back
Top Bottom