Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi timu kubwa iliyojikwaa kidogo ila haijaanguka mazima. Sasa vitimu vya kizushi kama Nyumbuz vinaamini tumeanguka na havitaki kuamini tumerudi rasmi ulingoni
Kuamini mmerudi rasmi mpaka tuwaone mmebeba Epl, mambo ya kuongoza ligi kwa siku 258 halafu mnabakiza mechi 8 tu kumaliza ligi mnatupa taulo na kukaa chini hii inatufanya tuwaone bado nyie ni mid table team tu kama kina crystal palace.
 
Onana kwenye shot stopping na reflexes hawezi kumfikia De Gea miaka 100.

Onana kwenye timu yenye defence na midfield kama United ipo siku mtamkumbuka De Gea.

Mimi sikubaliani na De Gea kuwa #1 msimu ujao ila Onana siyo kipa sahihi wa kucheza United kwasasa.

EtH ni kama vile sajili zake nyingi anatafuta watu aliowahi kufanya nao kazi kabla, wenye uraia wa Holland, waliocheza Eredivisie au aliowahi kuwahitaji miaka hiyo ana budget ndogo.

Kucheza na midfield ya Case, Mount, Bruno kwa kipa Onana ni risk sana.

Tatizo kubwa la De Gea ni uoga na kufanya makosa ya kizembe. Kipa mpya anahitajika na sokoni kuna options nyingi tu ni suala la kocha kutuliza akili.
 
Umeongea ukweli mtupu, onana atapiga pass au kuchezesha vzr timu Kuna watu watamuangusha

Mfano mzuri Kepa , ana footwork nzuri tu ila alipokutana na Chelsea Kiungo Cha kuungaunga kila mech walikuwa wanamtoboa , maana sio mzuri kwenye shot stopping na reflex Kama Mendy ambaye ana footwork mbovu
 
Bado man u hajamalizana na mount naw wanakwenda kwa Onana
 
Kocha wako anahitaji keeper ambaye yupo vizuri with his Feet.Na Onana kwa sasa ni Best keeper in the World with his Feet.
Hilo halina ubishi lakini watu hawataki kuangalia overall game ya Onana:

Kwenye footwork, distribution, confidence na concentration, Onana yupo vizuri.

Swali la kujiuliza Onana kwenye handling technique, consistency, positional awareness, decision making, point blank saves (hapa De Gea ni 100%) ana uwezo wa kumfanya kuwa bora maana hayo ndiyo maeneo muhimu kwa timu ambayo midfield haikai na mpira.

De Gea kacheza top level football consistently, kwenye decision making yupo vizuri na ndiyo maana huwa anafanya saves nyingi kwenye 1v1.

Foresight pia ni kitu Onana hana kutokana na risk anazofanya akiwa anataka kufanya sweeping. Mara nyingi huwa anatoka na anapoteza mipira nje ya box lake. Kwa kasi ya EPL, Ten Hag afikirie sana maamuzi anayotaka kufanya.

Usajili wa Onana nitauleweka kama tu De Gea atapewa mkataba. Tunapaswa kuwa na options nyingi ila kumuamini Onana moja kwa moja ni kosa.
 
Mimi nasubiri tu kuona kocha atafanya nini, kazi yangu kushabikia tu. Nimeona pia watu wengi hawataki hata idea ya De Gea kubaki na Onana kuja yani wao wanaamini akiwepo Onana tumemaliza na hatuhitaji backup nzuri.

Muda ndiyo hakimu.
 
Happy 47th Birthday RUUD
‍

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Happy 19th Birthday Garnacho.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
#MUFC have concrete interest in Dutch keeper Justin Bijlow. Feyenoord want to do everything they can to keep him.

#1908.nl
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
No player from #mufc’s 2013 Premier League winning squad still actively plays for the club.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
New ink for Victor LindelΓΆf

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2674983View attachment 2674984View attachment 2674985
 
Mimi nasubiri tu kuona kocha atafanya nini, kazi yangu kushabikia tu. Nimeona pia watu wengi hawataki hata idea ya De Gea kubaki na Onana kuja yani wao wanaamini akiwepo Onana tumemaliza na hatuhitaji backup nzuri.

Muda ndiyo hakimu.
De gea anasahaulika mapema Sana duh

Arsenal tuliwahi kupiga On target 14 jamaa anazicheza zote mwaka 2017 nadhani

Ile rekodi sijui Kama itavunjwa karibuni ,
 
De gea anasahaulika mapema Sana duh

Arsenal tuliwahi kupiga On target 14 jamaa anazicheza zote mwaka 2017 nadhani

Ile rekodi sijui Kama itavunjwa karibuni ,
ila we jamaa si ndio ulikua unaongoza kumponda De gea wakati ligi inaendelea?
Au yale yalikua ni maneno tu ya kishabiki?
 
haya mambo ya kila mchezaji wa Kiholanzi kuhusishwa na Man Utd ndio yanafanya kina Bachelor ll kupata nguvu zaidi ya kumhusisha 10 Hag na ujasusi wa nchi yake dhidi yetu.
 
ila we jamaa si ndio ulikua unaongoza kumponda De gea wakati ligi inaendelea?
Au yale yalikua ni maneno tu ya kishabiki?
Umemsoma alichoandika Forgotten lakini, Degea ana mapungufu ,lakin Kama unamleta Onana Basi muwekee mazingara rafiki lasivyo ataonekana Degea hakuwa tatizo, na mifano ipo hai pale Chelsea , Kepa ana footwork nzuri kuliko mendy,

Chelsea ilipokuwa ovyo Kiungo ,kipa Kepa uliona kilichotokea, kila shuti Goli

Sasa mazingira Kama hayo muweke onana
 
De gea anasahaulika mapema Sana duh

Arsenal tuliwahi kupiga On target 14 jamaa anazicheza zote mwaka 2017 nadhani

Ile rekodi sijui Kama itavunjwa karibuni ,
Kuna uwezekano mkubwa de gea ndio mchezaji mwenye utimamu na uzalendo pale unyumbuni HQ
Naona nyumbu wanarusha kitaulo kabla ya ligi kuanza
 
Kuna uwezekano mkubwa de gea ndio mchezaji mwenye utimamu na uzalendo pale unyumbuni HQ
Naona nyumbu wanarusha kitaulo kabla ya ligi kuanza
Manjesta tumewakosakosa kuwalamba 4,5 hata 10 Mara kadhaa kikwazo Degea ,tunawasakaga Sana ,Kama hiyo mechi ya ON TARGET 14 , hata hii ya mwisho 3-2 , matokeo hayahakisi kabisa tulivyocheza ,muda mwingi tulikuwa kwenye box lao, Degea anaokoa Sana

Sasa acha wamlete Sweeper halafu mabeki wawe wachomaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…