Manchester United (Red Devils) | Special Thread

@Manchester_United's home kit for 2023-24 is here

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2670355View attachment 2670356View attachment 2670357View attachment 2670358View attachment 2670359View attachment 2670362View attachment 2670360View attachment 2670363View attachment 2670361
Hizi ndo habari tunataka kuzisikia
 
Kwa nini david de gea ameshindwa kuendana na mabadiliko ya mpira wa kileo?

Amezaliwa spain, nchi inayosifika kwa kutandaza soka safi.

Kila siku anafanya mazoezi ya mpira, sasa ugumu upo wapi?

Makosa madogo aliyoyalea leo hii yanataka kusababisha aondolewe klabuni kama paka mwizi.

Hakuyaweka akilini yaliomkuta joe hart.
 
Hivi kama Kuna mtu anamjua mtu aneuza hii jez dodoma, aniunge nae plz
 
Kwa nini david de gea ameshindwa kuendana na mabadiliko ya mpira wa kileo?

Amezaliwa spain, nchi inayosifika kwa kutandaza soka safi.

Kila siku anafanya mazoezi ya mpira, sasa ugumu upo wapi?

Makosa madogo aliyoyalea leo hii yanataka kusababisha aondolewe klabuni kama paka mwizi.

Hakuyaweka akilini yaliomkuta joe hart.
Ten Hag wakati anafika alikuwa na imanj na De Gea hadi akawa anasema mfumo wake atauweza kwa sababu anamuonaga mazoezini akiufanyia mazoezi vyema style yake.

Ila akaja kumuangusha kitu ambacho kimefanya asiwe na hamu nae tena.
 
Our pre-season starts in 2 weeks:

β€’ Glazers still running the club into the ground
β€’ 0 signings made
β€’ No major out goings completed

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2670372
Glazer anakeran Santa. Binafasi namshangaa. Huy grazer ni mchawi mno.

Kwann anatubania tusisajili. Ili next season tufail??
 
Kula chuma hicho
Screenshot_20230628-112541_Twitter.jpg
 
Graza sio Kama hawataki kusajili, utasajilije wakati Kuna kundi kubwa la wachezaji mizigo hawajauzwa na wanakula mishahara mikubwa

Namkubali Tajiri miluzi yule Ni Tapeli haswa , kauza deadwoods wote Saudia , wamemchunguza wamekuta Wala hana uhusihano na Wasaudia

Shida yake Moja tu Sio mtu wa mpira ,anatakiwa awaachie wengine ,
 
Rice anatua Arsenal huku Caicedo Chelsea.

Man United wanapaswa kumsajili Lavia tena kilazima maana siku akikosekana Casemiro ni maafa,ingependeza wamchukue mapema taratibu aanze kuingia kwa timu ukizingatia Casemiro kavuka miaka 30.

Wenzetu wanasajili sisi tukiingia sokoni wachezaji wazuri washaisha tunaanza kuokota wachezaji wagonjwa,wa bure na mkopo waliovuka miaka 30 eti watupambanie ubingwa.
 
Deadwoods zile za Chelsea zina uwezo sio mbovu.
Ila hizi zetu zote takataka sijaona hata timu ya Kiarabu hata moja ikimtaka mchezaji wetu hii inaonesha kiasi gani tuna uchafu umejaa.

Kuna deadwood za €100 Antony japo wengi wanaipamba ila uweso sifuri,wengine hawatakiwi ila wanalazimisha kubaki Maguire na Martial hao,ila dah kazi tunayo.
 
Casemiro compared to other dms

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
IMG_20230628_150926_456.jpg
 
Diogo Dalot ‍

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |View attachment 2671880
IMG_20230628_150859_535.jpg
 
Football clubs with the most debt

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
IMG_20230628_150850_424.jpg
 
Rice anatua Arsenal huku Caicedo Chelsea.

Man United wanapaswa kumsajili Lavia tena kilazima maana siku akikosekana Casemiro ni maafa,ingependeza wamchukue mapema taratibu aanze kuingia kwa timu ukizingatia Casemiro kavuka miaka 30.

Wenzetu wanasajili sisi tukiingia sokoni wachezaji wazuri washaisha tunaanza kuokota wachezaji wagonjwa,wa bure na mkopo waliovuka miaka 30 eti watupambanie ubingwa.
Kilichobaki muombe Partey abaki Arsenal ila akiondoka ndan ya wiki inayoanza ya mwez wa 7 basi mumsahau Lavia labda mumsajili LavaLava.
 
Glazers wasipouza timu kwa Sheikh Jassim watapelekwa mahakamani na Investors (minority share holders) kwasababu pesa watakayopata per shares ni nyingi sana na timu isopouzwa 100% wanaweza wasije kupata pesa kama hiyo kwahiyo watataka kujua ni kwanini Glazers wanakataa Β£5B. Kazi kuu ya Chairman ni kuhakikisha wawekezaji wanatengeneza pesa zaidi sasa ikitokea nafasi ya kupata pesa halafu ukafanya biashara kwa maslahi yako binafsi wanahisa wanayo haki kukushtaki.

Glazers safari wamebanwa mbavu. Thamani halisi ya club ni Β£3B wao wanapewa Β£5B wasipouza 100% wanahisa wataathirika kibiashara.
Hahahah!
20230628_193119.jpg
 
Back
Top Bottom