Ongezea Sancho, Anthony , Varane, wanabisaka,Naamini maboss wapya budget na signing kubwa lazima wazifanye.... jamaa wako in love na success ya Carrington.....walete new signing 7 mpk 8.....kisha wafukuze MAGUIRE, fred, elanga, martial, telles, etc wasafishe
Habari nzuri sanaMan Utd appointed Matt Hargreaves as their new director of football negotiations earlier this year and he has begun work at the club this week..
[MEN]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2656206
















Bwege we tuachie kocha wetuOngezea Sancho, Anthony , Varane, wanabisaka,
Na 7HAG
Who is fabrizio linapokuja swala la habari za manchester united.Tetesi za Sheikh Jassim kufanikiwa kuchukua timu zote ni feki,akili imechoka hapa sitaamini source yoyote hadi nfapoona update ya Fabrizio Romano
Mbn ipo ya RomanoTetesi za Sheikh Jassim kufanikiwa kuchukua timu zote ni feki,akili imechoka hapa sitaamini source yoyote hadi nfapoona update ya Fabrizio Romano
Haipo bwana taarifa ya mwisho kumhusu Sheikh Jassim alitoa wiki iliyopita alivyoweka dau kwa mara ya 5Mbn ipo ya Romano
Ana accuracy ya 99% na muda huu nimeona habari nyingine kuwa bado Glazers wanapokea minority bids zitazowawezesha kuendelea kuwa na control klabuniWho is fabrizio linapokuja swala la habari za manchester united.
Ni feki mm nilikuwa nawaangalia tu Jana kwenye social media mlivyokuwa excitedTetesi za Sheikh Jassim kufanikiwa kuchukua timu zote ni feki,akili imechoka hapa sitaamini source yoyote hadi nfapoona update ya Fabrizio Romano
Waarabu walifanya propaganda tu ili wapewe timu harakaAna accuracy ya 99% na muda huu nimeona habari nyingine kuwa bado Glazers wanapokea minority bids zitazowawezesha kuendelea kuwa na control klabuni
Glazers wasipouza timu kwa Sheikh Jassim watapelekwa mahakamani na Investors (minority share holders) kwasababu pesa watakayopata per shares ni nyingi sana na timu isopouzwa 100% wanaweza wasije kupata pesa kama hiyo kwahiyo watataka kujua ni kwanini Glazers wanakataa £5B. Kazi kuu ya Chairman ni kuhakikisha wawekezaji wanatengeneza pesa zaidi sasa ikitokea nafasi ya kupata pesa halafu ukafanya biashara kwa maslahi yako binafsi wanahisa wanayo haki kukushtaki.Waarabu walifanya propaganda tu ili wapewe timu haraka
Grazzer hawawez kuachia timu kirahisi hivo
Mwisho watampa Chawa wao Sir Jim ambaye amekubali shea kwa 49%
Kwa akili ya mpira aliyonayo ETH nakuhakikishia mwakani tutakuwa ni waviwango sana hawa wakina Pep watapigika sana, kama kikosi cha akina Fred kulimsumbua kwenye FA juzi, vipi tukishusha majembe.Na boss akikasirika aniletee mbape £200 na balera £80......total inakuwa 730 na mwakani tunatafutana na city sasa
Haya hayatatimia bila usajili,na hili sakata linaloendelea litaathiri mipango ya kocha kwenye usajili wa kuziba madhaifu.Kwa akili ya mpira aliyonayo ETH nakuhakikishia mwakani tutakuwa ni waviwango sana hawa wakina Pep watapigika sana, kama kikosi cha akina Fred kulimsumbua kwenye FA juzi, vipi tukishusha majembe.