Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Na hichi ndio kiinatucost misimu yote unakuta wanaenda nao pre season hao wabovu wakicheza vizuri kidogo eti wanabaki nao,ni ushenzi huu Pre season sio ya kuihesabu ile hata Andreas hugeuka Pirlo.Hii team kazi ipo kwakweli, pre season itaanza utakuta hawajauza wala kununua kwa mambo yanavoenda
![]()
Hasa Martial mwaka jana naye alikuwa kama hivyo hadi kocha akashawishika kumbakiza

, pre season itaanza utakuta hawajauza wala kununua kwa mambo yanavoenda








️
️