Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,380
- 1,788
Chelsea wala hawalazimishi Mount kubaki ila fikeni bei iliyotaja mbona wakina sancho na Antony mlinunua £100mTutampitia hata mwakani acheni kumlazimisha hataki kucheza timu hata Europa haipo.
Mbona wengine mmewauza kirahisi na mliwanunua kwa bei chafu ila yeye mnakaza tena ni academy player.
Cheltako bwana ama mnataka awasadie hata kushika top 7 msimu ujao[emoji23]