Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuanze kuongea Kiarabu kabisa ni suala la muda tu kinachosubiriwa ni announcement tuView attachment 2665718
2.jpg
 
Yaani humu naona mna lia lia tu na kutia huruma, poleni sana. NYUMBU kama NYUMBU, Glazer daima mbele hakuna kuuza timu wala nini.
 
Nyie NYUMBU acheni masikhara kabsa ongezeni hela tuwape Mount. Ila poleni sana nyie kila sku ni kupigwa tu, sasa Mount kweli ni wa kuanzia 60M kabisa?
Kama Harvez mmefanikiwa kumuuza kwa 65M basi Mount mnatakiwa mkomae mpate hata 80M.
Inasemekana hizo bei zinazotajwa ni za kwenye makaratasi ili kubalance mahesabu na kukwepa rungu la FFP, ila uhalisia Kai Harvez ameuzwa kwa 25M na Mount Man Utd tutatoa 20M.
Ngojeni tulipie hizo 20M halafu tuwachome kwa Takukuru ili mshushwe daraja kabisa kenge nyie.
Screenshot_20230502_172104.jpg
 
Back
Top Bottom