mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 790
- 1,264
City kabeba treble ila mpaka sasa kashasajiri nafikiri wawili up to now, sisi waomba mungu kila siku tetesi tena za huyo flop wakingereza mount, another sancho[emoji23][emoji23]
Kweli glazers wametuweza ila waingereza ndio wakome kuuza timu zao kwa wamarekani,
Kwa miaka ya hivi karibuni sioni timu ya kumzuia city asibebe mataji pale england, timu yenye jeuri ya kumuacha mchezaji aina ya Gundogan
Na sasa nasikia city washapeleka offer kwa declan rice [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka utazani mazuri