raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,503
- 35,686
Kwa jinsi team ilivyo hakuna mchezaji ambaye hatatamani kujiunga ni kama utd enzi za fergieKovacic huyo anaenda Etihad.
Utashindana vipi na hawa watu?..
Wanaleta tu vyuma..
Kwa jinsi team ilivyo hakuna mchezaji ambaye hatatamani kujiunga ni kama utd enzi za fergieKovacic huyo anaenda Etihad.
Utashindana vipi na hawa watu?..
Wanaleta tu vyuma..
Wametupiga bei gani mkuu kati zile 120M ambazo ndio zimetengwa kwa ajili ya dirisha zima la usajili ?Mount tyr huko dili lishakamilika bado announcement tuu
60 mzee hahahWametupiga bei gani mkuu kati zile 120M ambazo ndio zimetengwa kwa ajili ya dirisha zima la usajili ?
Duuh taabu kwelikweli60 mzee hahah
60 mzee hahah
Hii pesa wametoa nani sasa au zimetoka hazina60 mzee hahah
Acheni mikwara mshazidiwa EPL na Man City timu iliyoanza kuinuka baada ya 2010Hivi mnajua timu yenu inaelekea kufilisika?
Hivi mnajua timu yenu inaelekea kufilisika?
Acheni mikwara mshazidiwa EPL na Man City timu iliyoanza kuinuka baada ya 2010
Sasa timu inafikisikaje wakati inaingia chini ya Ownership mpya ama inaachwa bila mmiliki![]()
Manchester Probability Of Bankruptcy | (NYSE:MANU) - Macroaxis
Manchester United's odds of distress is under 19% at this time. It has tiny probability of undergoing some form of financial crunch in the near future.www.macroaxis.com

Hii jamii forum ya siku hizi inatia kinyaa hata kufungua Uzi hivi hii takataka nayo ni member wa Jamii forum kweli?Nyie matakataka munaleta mazoeya na timu etu. Munamutaka Mount ili mukaue kiwango chake...

