Kabisa,hata Weghorst sio mbovu kihivyo watu wanavyodhani ni wanaomzunguka wabinafsi,hata Ronaldo alipoteana kisa hicho.
Nafuu ya Garnacho ndio winga ambaye akiwa matured hiyo kazi ya kumlisha striker anaweza,halafu hawa left footed Right wingers ni wachoyo sana kama Antony nafuu zamani enzi za akina Nani.
Sancho namba 7 anaicheza vyema kuliko 11 kwa sababu akiwa Dortmund kaicheza kwenye uwezo wa juu.
Nadhani kocha ampe one last chance mimi naona anafaa winga ya kulia kuliko Antony kwa faida ya striker atayesajiliwa.
Ni confidence tu anahitaji tena hana ubinafsi sana kwa sababu asili yake ni mtu wa kutoa assists sana kuliko kufunga