D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Ndio ujue timu yetu hawajitambui ilipaswa wamsajili huyo Palhinha akichafue na Casemiro pale kati.West ham wamnunue palhinha,
Fulham tuwauzie fred
Hakuna kitu yoyote wanaleta ukuda tu wale vipara wa Kimarekaniwazee muda wowote wekeni bundle club inakuja na statement ya kumtangaza sheikh Jassim Al-Thani kama mmiliki mpya
tulia timu haikabidhiwi Kama baiskeli imminent jassim anatangazwaHakuna kitu yoyote wanaleta ukuda tu wale vipara wa Kimarekani
Pickford na Henderson tofauti yao ni nini?united kutoa pauni milioni 45 kwa ajili ya PICKFORD
Pickford naye ni stopper tu.sioni la maana kwake kumshinda DDG. Inawezekana Onana tungempata kwa bei chini ya hapo ila kinachotumaliza Utaifa kwanza.united kutoa pauni milioni 45 kwa ajili ya PICKFORD
Waarabu wapeleke pesa aende Saudia tu.Bajeti ya manchester united ni paundi millioni 120.
Unamuondoaje david de gea?
Na hakufanya chochoteLeo Denmark wanakipiga na Northern Ireland yule dogo Hojlund atajiokotea watu halafu Atalanta waongeze dau.
Maguire , Varane na Bailly wanapaswa kuwekwa sokoni tu.Kuna ulazima wa kusajili beki mwengine wa kati kwa paundi millioni 35 au zaidi?
Nadhani sera sahihi ni kuuza kwanza ndipo pafanyike manunuzi.
Maguire , Varane na Bailly wanapaswa kuwekwa sokoni tu.
Hela hizo tutumie kumsajiliJosko Gvardiol au Antonio Silva.
Yes injury record yake inatishia sana uimara wa Squad yetu.Varane?!!