Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Hakuna kitu yoyote wanaleta ukuda tu wale vipara wa Kimarekaniwazee muda wowote wekeni bundle club inakuja na statement ya kumtangaza sheikh Jassim Al-Thani kama mmiliki mpya
Hakuna kitu yoyote wanaleta ukuda tu wale vipara wa Kimarekaniwazee muda wowote wekeni bundle club inakuja na statement ya kumtangaza sheikh Jassim Al-Thani kama mmiliki mpya
tulia timu haikabidhiwi Kama baiskeli imminent jassim anatangazwaHakuna kitu yoyote wanaleta ukuda tu wale vipara wa Kimarekani
Pickford na Henderson tofauti yao ni nini?united kutoa pauni milioni 45 kwa ajili ya PICKFORD
Pickford naye ni stopper tu.sioni la maana kwake kumshinda DDG. Inawezekana Onana tungempata kwa bei chini ya hapo ila kinachotumaliza Utaifa kwanza.united kutoa pauni milioni 45 kwa ajili ya PICKFORD
Waarabu wapeleke pesa aende Saudia tu.Bajeti ya manchester united ni paundi millioni 120.
Unamuondoaje david de gea?
Na hakufanya chochoteLeo Denmark wanakipiga na Northern Ireland yule dogo Hojlund atajiokotea watu halafu Atalanta waongeze dau.
Maguire , Varane na Bailly wanapaswa kuwekwa sokoni tu.Kuna ulazima wa kusajili beki mwengine wa kati kwa paundi millioni 35 au zaidi?
Nadhani sera sahihi ni kuuza kwanza ndipo pafanyike manunuzi.
Maguire , Varane na Bailly wanapaswa kuwekwa sokoni tu.
Hela hizo tutumie kumsajiliJosko Gvardiol au Antonio Silva.
Yes injury record yake inatishia sana uimara wa Squad yetu.Varane?!!
Acheni kulia liaSo Saudi Arabia invest billions into Clearlake Capital, the majority owner of Chelsea.
Then Chelsea spend £650million on transfers, putting them in the red with FFP.
Then Chelsea sell all of their deadwood to Saudi Arabia at extortionate prices to avoid FFP.
Tutafanya panic buys 2 hadi 3 ili kufunga midomo ya mashabiki tuonekane tulikuwa na malengo kwenye transfer market hii ila muda muda ndio umekuwa finyu.Sitashangaa pre season tukaenda hatujauza wala kununua ni huzuni.