Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiyo nafuu wapeleke kwa Goncalo Ramos.

Ni risk sana kwa kijana yule hiyo hela halafu ukizingatia serie A inaongoza kwa kutoa sajili za tapeli,hebu leta hapa mshambuliaji mkali aliyesajiliwa na timu za Epl toka serie A halafu akafanya vizuri.Nadhani ni Salah tu ambaye kiuhalisia anatokea pembeni ndio kaonesha potential wengine wote za uso
Hata mabeki na viungo ndio usiseme huwa hawatambi nje ya ile ligi.

So ni bora waende Ureno na hiyo hela wakambebe Goncalo Ramos tena ni €80m na katupia mabao ya kutosha sana ila sio kwa huyo aliyefunga 9 tu kulipa hilo dau tunajirisk kama kwa Antony
Highlights zake sijaona hata goli la kichwa..£80m kweli?
 
Mie sina cha kuchangia kwa Sasa zaidi ya kuomba tu hii club yangu pendwa ipate mmiliki mpya Jasmin, maana itakua ngumu kwenda jino kwa jino na pep wa mancity ambae anapata kila kitu kutoka kwa Mansoor.

Tuweni serious yaan £120 kweli ndio tutegemee kupambana na mancity ambae anakwenda kuigeuza hii ligi kuwa farmers league. Ten hag ni kocha mzuri saana but problem ni wamiliki wa club, hivyo wakichelewa kuuza itachukua mda kupata mafanikio yasiyo ya kubahatisha.
 
Highlights zake sijaona hata goli la kichwa..£80m kweli?
Ndio maana nikasema risky pia kwa wote.

Mimi ambaye naona anaweza kufaa ni Kolo Muani maana ni complete striker kama Kane anakupiga mabao ya aina zote na anajua kulink up na mawinga.

Benfica nao ni matapeli flani.

Hapa tunapaswa kutulia sana japo naona kuna asilimia kubwa za kumchukua Hojlund maana alishabadili hadi agency ya kumsimamia ambayo pia inamsimamia Ten Hag.
 
Mie sina cha kuchangia kwa Sasa zaidi ya kuomba tu hii club yangu pendwa ipate mmiliki mpya Jasmin, maana itakua ngumu kwenda jino kwa jino na pep wa mancity ambae anapata kila kitu kutoka kwa Mansoor.

Tuweni serious yaan £120 kweli ndio tutegemee kupambana na mancity ambae anakwenda kuigeuza hii ligi kuwa farmers league. Ten hag ni kocha mzuri saana but problem ni wamiliki wa club, hivyo wakichelewa kuuza itachukua mda kupata mafanikio yasiyo ya kubahatisha.
Hiyo €120m ni intial nimeweka maelezo juu kwamba wakiuza wachezaji kadhaa inaweza kuongezeka hadi hata €300m.
Hapo wanaweza kupata wachezaji hata 5/6.

Tatizo kikwazo ni takeover maana ingekuwa Mwarabu akiinunua timu anaanza kazi haraka labda tungeweza kufanya sajili zote hata July kwa hela yake.

But sasa cha kushtua ni kwamba inatakiwa approval toka kwa Premier League ambayo inaweza kuchukua wiki 8-12 na kwa mahesabu ya haraka ligi inakuwa ishaanza na hata dirisha la usajili linakuwa limefungwa.

Nadhani tuanze kupigia maesabu hela ya mmiliki mpya kuanzia January mwakani.
 
Aaah sawa
 
Ni mechi nyingi sana msimu huu tumetoka uwanjani "kwa asante De Gea" , team imeoza kuanzia mabeki, viungo, huko mbele ndio viazi kabisa.

Hizo game zote ulizotolea mfano tulifeli kwasababu ya hesabu za kocha katika sub, wala haikuwa kawasababu De Gea alikuwa anapoteza possession.

Mechi kama ile tuliyopigwa goli 4 na BENTIFORD utasema ni kipa? Ila ya Liverpool tuliyokula goli 7 utasema ni kipa? Zile goli 6 za City utasema ni kipa? Ile game tuliyosuluhu na Crystal palace licha ya kuongoza goli moja tulipigwa msako mkali sana tukapona kwasaabu ya De Gea.

Mechi zetu dhidi ya Spurs, Sevilla, Barca, ARSENAL (ile ya 3-2) na nyingine nyingi, ni mechi tulizopoteza kipumbavu licha ya kutangulia kwasababu ya ujinga wa Ten Hag kwenye sub zake. Ni mara chache sana Ten Hag apige hesabu za kufanya sub kisha zifanikiwe.

Kwa mfano wa mechi ulizotoa bado sio sawa kumtupia lawama De Dea.

ITAFUTWE SABABU NYINGINE GENUINE, SIO KUSEMA DE DEA NI KIPA MBOVU.
Kaka tuanze kwanza na mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja de gea ni mbovu sana huna cha kumtetea juu ya performance yake tena hata izo unazosema anaokoa mara nyingi unakuta makosa ni yake...kuna namna ww unaangalia mpira kwa angle isiyo sawa
 
"Chelewa-chelewa utapata mwana si wako."
Screenshot_20230616-200912_Twitter.jpg
 
Ishatoka hiyo njia pekee ya kumpata ni kumsajili kwa dau zaidi ya walilooffer Bayern na mshahara zaidi tena hijacking ihusike kama tulivyofanyaga kwa Martinez na Malacia
Usajili wa Min-Jae ni atakayeweza tu kumshawishi mchezaji maana ana release clause itakuwa activated July.

Sasa kama Bayern watampa mshahara sawa na sisi sioni akiacha ofa nzuri zaidi kutoka timu ambayo ina project ya kueleweka na inapambania makombe.
 
Habar za leo ndugu zangu, leo naomba nichangie kidogo kwenye hili jukwaa baada ya kimya kirefu.

Kitu cha kwanza ambacho inabidi tukubali ni kwamba kwa sasa tupo nyuma sana na washindani wetu wakubwa kwenye Ligi achia mbali UEFA, na ni ngumu kupata timu ya kugombea ubingwa kwa msimu ujao( kama tutaendeleaa kuwa chini ya Glazer). Kama Muarabu atachukua timu safari yetu itakuwa fupi,

Maelzo yangu ni assumption kama timu haitaenda kwa mwarabu kabla diriaha halijafungwa

Kwa dirisha hili la usajili kwangu naona litakuwa limekwenda vizuri endapo tutakuwa tumepunguza wachezaji mizigo( wasio na msaada) kuliko hata kusajili wachezaji wapya wengi.

Wachezaji kama Wanbissaka(Sababu Dalot katoka kupewa mkataba) ,Maguire,Mctominay,Martial,Elanga,Brandon Williams,Van de beek unaweza ukawauza kwa pesa za nyanya ukakusanya ukapata mchezaji mmoja au wawili wanaoweza kuwa na impact kubwa kuliko kundi kubwa la wachezaji wasio na faida.

Kwangu ni bora kubaki na Maino na Zidan kuliko kumtegema Mctominay auu Fred.

Kwa mtazamo wangu natamani tungepata kipa zaidi ya Degea, ila kwa bajeti hii ya maandazi sioni hili likitokea. Kwa hiyo Dean angerudi ili agombanie namba na De gea,(uzuri wa Ten Hag) ana uwezo wa kumuweka benchi mchezaji yoyoye ambaye ana under perfom. Ila ili uweze kumuweka benchi ni lazima unaye mpa nafasi awe bora kuliko unaye muweka benchi. ( hii ingeleta chamgamoto chanya kwenye nafasi ya golkipa) tungeweza kusogea kidogo.

Halafu hela zote zile zitazopatikana kwa kuuza wachezaji wa mafungu zingeelekezwa kwenye nafasi ya Ushambuliaji (Tungepata Striker mmoj wa maana) na mchezaji kiraka mmoja mfano wa Caicedo. Ukipata mchezaji kama huyu unakuwa ni kama una wachezaji wawili au watatu. Anaweza kucheza kwa ufasaha zaidi ya nafasi mbili.

Binafsi naona Ten Hag amefanya kazi nzuri kwa msimu wake wa kwanza ila kama hatapewa support ya dhati tutarud pale pale kwamba kocha hafai.
 
Mchukue ilkay gundogan then mpatie mkataba wa miaka miwili.

Fuatilia ukuaji wa kobbie mainoo na zidane Iqbal ndani ya hiyo miaka miwili.

We need controller eneo la midfield, hao akina kim min jae wala hawaniumizi kichwa sana ukilinganisha na eneo la midfield
 
Msenge kama huyu aliyecheza mechi chache kuliko werghost ndio akupe ubingwa,

Kwa kazi gani aliofanya hadi awe na mapumziko ya ulaji bata kama haya
View attachment 2660044
Wa kuuza huyu,kwanza sura yake akiwa uwanjani ni kama kalazimishwa kucheza.

9 gani hajui hata kupiga mipira ya vichwa na goigoi si kitoto.
 
Back
Top Bottom