Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Nicheke kwanza,na hapa ndio jana nilimuiliza mtu kwamba ni sawa tuna washambuliaji wabovu hatufungi mabao ila je kama tunashinda goli 7 ila anaendelea kuchomesha bado atahesabika kama bora?Sasa hapa utasema kosa ni la nani Mac Alpho
Bahati tulikuwa tunaongoza 6-1 hii mechi ila huu ni uzembe kipa hapaswi kufanya.
Hii video inamaliza kila kitu na hizi mistakes anafanya kila wiki ila watu wanaangalia saves zake tu,hili tayari ni tatizo maana makipa wengine hupiga mipira mirefu kwa malengo ila sio huyu wetu ni kama anaanzisha mpira kwenye Rugby