Timu ya biashara hii wasio julikana izo jezi ata nunua naniKwa ufinyu wa bajeti tulionao inatakiwa kuwa na plan B endapo Glazers hawaachia timu mapema. Wengi wetu tulishawishika na project ya mwisho ya 10Hag pale Ajax akiwa na makinda wengi kwenye timu yake na ilikuwa inacheza mpira mzuri sana.
Ni wakati sasa akatafute vipaji visivyo na majina uko S/A,Asia,Afrika na hata ligi za ulaya mashariki zisizo na majina lakini kuna talents nyingi. Pesa tuliyo na uhakika nayo tununue proven striker na tuuze magalasa yetu tumtafute De Jong ashikilie dimba na Casemiro.
Mapengo mengine uwanjani tuzibe na hizo talents toka kusikojulikana ili tuwashangaze.
Ungemkataa hata huko Madrid hana uwezo wa kuwafikia Vinicius na Rodrygo.Sancho ana tamani ange tulia zake aende Madrid ona sasa alipo saivi[emoji81][emoji81]
Huyo Rashford hadi akiamka vyema nadhani itategemea na progression ya Garnacho inaenda vipi ila kijana akiendelea na potential yake ndani ya miaka 2-3 atamuweka Rashford benchi.Soka la sasa hivi ubishoo na uvivu ndiyo vinaongoza. Martial, Sancho, Rashford huwa naona kama ni watu wanaojaza nafasi tu United. Siyo watu wa kutegemea kabisa.
Martial unaweza kumtetea kwa injuries lakini haonyeshi hali ya kujituma uwanjani ni kama hajali.
Sancho ubisho na bata vinamaliza kipaji chake. Msimu umeisha tayari kawahi Jet na kupiga soft drinks. Naweza kusema pesa nyingi ktk umri mdogo ndiyo sababu.
Rashford ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu lakini ni kama ame-stuck mahali. Ujana na kutojituma 100% ndiyo tatizo lake. Rashford ni mchezaji ambaye pesa na umaarufu havijaichota akili yake ila naona kama kwenye 100% uwanjani anafanya 70% akiamua kufanya kazi yake ipasavyo ni mchezaji mzuri.
Mfano mzuri ni pale Man City, Haaland na Alvarez ni watu wa kazi lakini mtu kama Foden ana mambo mengi na ndiyo tabia ya Waingereza wote. Hata Rooney alikuwa mlevi ila hakuwa na utani uwanjani.
Hivi hii team inauzaga wachezaji kweli mana kila mchezaji anaondokaga bure. Pogba alinunuliwa kwa pesa nyingi ila aliondoka free
Ngoja nibadilishe swali ili nieleweke.Kaka tuanze kwanza na mapungufu ya mchezaji mmoja mmoja de gea ni mbovu sana huna cha kumtetea juu ya performance yake tena hata izo unazosema anaokoa mara nyingi unakuta makosa ni yake...kuna namna ww unaangalia mpira kwa angle isiyo sawa
Tulianza na maguaya sasa n degea na lipo wazi ambae atufai anatakiwa akae pembeniNgoja nibadilishe swali ili nieleweke.
Unataka kusema kwamba katika kikosi kilekile cha Utd, ikitokea tukebadili kipa basi mambo yatanyooka vizuri na tutakuwa na team shindani??
Mimi napingana na mtu aliyedai kuwa De Gea ndio kasababisha team yetu kuwa mbovu isiyokuwa ya kiushindani, ile UTD imeoza yote. De Gea anaweza kuwa hafit kwenye mpira wa kisasa ila hana huo ubaya mkubwa kiasi ambacho mnajaribu kuukuza.
Hujaelewa mantiki iliyopo!Ngoja nibadilishe swali ili nieleweke.
Unataka kusema kwamba katika kikosi kilekile cha Utd, ikitokea tukebadili kipa basi mambo yatanyooka vizuri na tutakuwa na team shindani??
Mimi napingana na mtu aliyedai kuwa De Gea ndio kasababisha team yetu kuwa mbovu isiyokuwa ya kiushindani, ile UTD imeoza yote. De Gea anaweza kuwa hafit kwenye mpira wa kisasa ila hana huo ubaya mkubwa kiasi ambacho mnajaribu kuukuza.
Ndio ujue timu yetu hawajitambui ilipaswa wamsajili huyo Palhinha akichafue na Casemiro pale kati.West ham wamnunue palhinha,
Fulham tuwauzie fred
Hakuna kitu yoyote wanaleta ukuda tu wale vipara wa Kimarekaniwazee muda wowote wekeni bundle club inakuja na statement ya kumtangaza sheikh Jassim Al-Thani kama mmiliki mpya