Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mount £40 wameikataa mbaya zaidi Ben10Hag anakomalia kuongeza dau aiseee apo wanataka £60+ na Man U watatoa tu..Nauhakika mpaka dirisha linafungwa Ben10 hatofanya sajili za maana zaidi ya hao kina Mount na drid atatupiga pre season nyingi tu kwa kuanzia..
 
Haya mambo ya kipa kua mzuri akiwa na mpira mguuni sio lazima kila timu iwe ivyo, mbona miaka mitatu nyuma degea,alikua akiimbwa sana, nyie bakini ivyo ivyo tu sio lazima kila timu ibadilike
Kama hauoni tatizo upo nyuma sana kuhusu mpira umebadilika sana...ww huoni de gea ameshinda golden gloves lakn anaongelewa kama kipa mbovu...hujiulizi kwann anaongelewa na kocha ameshatoa kauli tata kuhusu nafasi yake
 
Nachosema sio kila timu iwe na kipa aina ya Ramsdale,Onana,Steele, Ederson na Becca.. Nyie man u Bakini ivyo ivyo tu na degea mbona ni kipa mzuri sana
 
Kwa soka la sasa ni lazima,De Gea nyakati zile za SAF ndio aina ya kipa waliokuwa wanahesabika bora sio miaka hii ya build up za kuanzia nyuma.
Upo sahihi ,niliangalia mechi ya FA manjesta vs Mancity niliona Kuna buildup mlizifanya nyingi tu na zilifanikiwa , Sasa pale mtoe muweke Onana ,means Kama kwa timu Kama city buildup zilifanikiwa ,Basi kwa middle teams una uhakika wa kushinda mechi nyingi na goals nyingi

Kuna watu hawajui umuhimu wa buildup kwa soka la kisasa ,ndio maana ukiwaambia Degea hafai hawakuelewi ,

Unapofanya buildup ukatoka chini salama kwa usahihi ,shepu ya timu pinzani unaikuta imepangaranyika sababu walikuja ku press wakashindwa kufanya turnover

Wasipo press ,Basi wanakuwa wamerudi nyuma kuzuia ,means mpira mtakuwa nao muda mrefu mkiwasaka

Hii inaongeza Percentage kubwa ya kushinda mechi ,

Ndio maana kocha Kama Conte,Mourinho, Simeone ,hawawez kutoboa EPL kwasasa ...even hata Ancelot .

Ferguson mwenyewe kwasasa angekiona Cha Moto,

Treble ya 1999 , Alibeba EPL na points 79 tu , wakati leo Liverpool points 97 anakosa EPL, Arsenal points 84 tunaonekana hatujafanya kitu .
 
Watu wanaomtetea De Gea wakaangalie mechi 2 tu za msimu huu: Barcelona - Old Trafford & Sevilla - Pizjuán Stadium.

De Gea ni shot stopper mzuri lakini yeye ndiyo sehemu ya magoli mengi tunayofungwa. De Gea shots nyingi anazozuia huwa ni matatizo anayojitengenezea yeye mwenyewe.

De Gea akiwa golini anazubaa sana hata zikipigwa cross huwa hafuati.

Wapinzani wameshajua udhaifu wa De Gea wanachofanya ni ku-press tu kitu kinachomfanya De Gea kubutua mpira na timu kupoteza possession kizembe.
 
1686817544096.png
 
Ni mechi nyingi sana msimu huu tumetoka uwanjani "kwa asante De Gea" , team imeoza kuanzia mabeki, viungo, huko mbele ndio viazi kabisa.

Hizo game zote ulizotolea mfano tulifeli kwasababu ya hesabu za kocha katika sub, wala haikuwa kawasababu De Gea alikuwa anapoteza possession.

Mechi kama ile tuliyopigwa goli 4 na BENTIFORD utasema ni kipa? Ila ya Liverpool tuliyokula goli 7 utasema ni kipa? Zile goli 6 za City utasema ni kipa? Ile game tuliyosuluhu na Crystal palace licha ya kuongoza goli moja tulipigwa msako mkali sana tukapona kwasaabu ya De Gea.

Mechi zetu dhidi ya Spurs, Sevilla, Barca, ARSENAL (ile ya 3-2) na nyingine nyingi, ni mechi tulizopoteza kipumbavu licha ya kutangulia kwasababu ya ujinga wa Ten Hag kwenye sub zake. Ni mara chache sana Ten Hag apige hesabu za kufanya sub kisha zifanikiwe.

Kwa mfano wa mechi ulizotoa bado sio sawa kumtupia lawama De Dea.

ITAFUTWE SABABU NYINGINE GENUINE, SIO KUSEMA DE DEA NI KIPA MBOVU.
 
No No No ile game na Sevilla tuliyopigwa 3 si mapema kabisa alichomesha yeye goli la kwanza,sub ilihusika vipi hapo?Hata la 3 ilikuwa ni uzembe wake anatoka hadi pale halafu anashindwa hata kupiga mpira kimahesabu hapo utamlaumu vp kocha.

Game ya Brentford ilikuwa hivyo pia alichoma goli kwa pasi zake kama miguu imepinda

Game ili tunapigwa na West Ham nayo alichoma ila bahati mabeki wakawahi fasta.

Hizo game tulizopigwa nyingi ilikuwa ni full team mistakes ila yeye kama yeye ana individual mistakes nenda kaangaie makipa wenye errors leading goals utaona yeye na Pickford wanaongoza ila ni mabingwa wa kufanya saves

Na hizi saves ndio zinatufanyia brainwash ila wote hao hakuna wa kupata namba kwenye timu za top 6 hata benchi tu.
 
Ni mechi nyingi sana msimu huu tumetoka uwanjani "kwa asante De Gea" , team imeoza kuanzia mabeki, viungo, huko mbele ndio viazi kabisa.

Hizo game zote ulizotolea mfano tulifeli kwasababu ya hesabu za kocha katika sub, wala haikuwa kawasababu De Gea alikuwa anapoteza possession.

Mechi kama ile tuliyopigwa goli 4 na BENTIFORD utasema ni kipa? Ila ya Liverpool tuliyokula goli 7 utasema ni kipa? Zile goli 6 za City utasema ni kipa? Ile game tuliyosuluhu na Crystal palace licha ya kuongoza goli moja tulipigwa msako mkali sana tukapona kwasaabu ya De Gea.

Mechi zetu dhidi ya Spurs, Sevilla, Barca, ARSENAL (ile ya 3-2) na nyingine nyingi, ni mechi tulizopoteza kipumbavu licha ya kutangulia kwasababu ya ujinga wa Ten Hag kwenye sub zake. Ni mara chache sana Ten Hag apige hesabu za kufanya sub kisha zifanikiwe.

Kwa mfano wa mechi ulizotoa bado sio sawa kumtupia lawama De Dea.

ITAFUTWE SABABU NYINGINE GENUINE, SIO KUSEMA DE DEA NI KIPA MBOVU.
Hakuna anayesema De Gea ni mbovu ila kama walivyo wachezaji wengine ana mapungufu yake na hayo mapungufu ni udhaifu kwenye mfumo wa Ten Hag.

Halafu mechi ya Brentford uliyotolea mfano ndiyo De Gea alifanya uzembe wa hali ya juu. Bora ya 7-0 au 6-3 ni timu nzima ilizingua.

Nimetolea mfano mechi ya Barca kwasababu kuna kosa moja alifanya ambalo litakupa picha kwanini hafai kwenye mfumo wa EtH: De Gea alikuwa na space ya kutosha golini kwake, mabeki wakiwa wametanua pembeni na alishindwa kutoa pasi badala yake akampasia mpinzani.

Mechi ya Sevilla mapema tu akachomesha (Maguire naye alihusika) dk za mwisho akajaribu kutoka ili kuokoa akaukosa mpira tukafungwa goli la 3. Haya ni makosa ambayo yanaigharimu timu na kipa kama De Gea ni wazi ameshindwa kuyarekebisha.

Kwenye ulimwengu wa soka ambao unapata kipa anayezuia na aliyetulia mguuni ni kwanini tumng'ang'anie De Gea? Mimi nitaelewa tu DDG kuwa backup GK na siyo #1 msimu ujao.
 
Back
Top Bottom