Nicheke kwanza,na hapa ndio jana nilimuiliza mtu kwamba ni sawa tuna washambuliaji wabovu hatufungi mabao ila je kama tunashinda goli 7 ila anaendelea kuchomesha bado atahesabika kama bora?Sasa hapa utasema kosa ni la nani Mac Alpho
Bahati tulikuwa tunaongoza 6-1 hii mechi ila huu ni uzembe kipa hapaswi kufanya.
Usiwaze sana tag ya Rice imesogezwa hadi €120m tuone kama Arsenal wataiweza,Man City wanamvizia pia.Rice to Arsenal.
Caicedo to Chelsea.
Tuna wakati mgumu sana next season. Top talents zote wenzetu wanaziwahi.
Tusubiri Mwarabu amwage pesa.Usiwaze sana tag ya Rice imesogezwa hadi €120m tuone kama Arsenal wataiweza,Man City wanamvizia pia.
Caicedo naye bado tukiwahi hatuwezi kumkosa kama tu tunamhitaji

Rio Ferdinand: “The Qatari takeover is something that we’ve been waiting for a long time. We’re hearing that it’s close, within a matter of days it will happen, if not hours. Fingers crossed that it is right, I’ve got it from a good source that it is true.”






Tutaanza na timu za kawaida atleast.
De Gea kwenye mipango ijayo hatakiwi kuwepo..Ni mechi nyingi sana msimu huu tumetoka uwanjani "kwa asante De Gea" , team imeoza kuanzia mabeki, viungo, huko mbele ndio viazi kabisa.
Hizo game zote ulizotolea mfano tulifeli kwasababu ya hesabu za kocha katika sub, wala haikuwa kawasababu De Gea alikuwa anapoteza possession.
Mechi kama ile tuliyopigwa goli 4 na BENTIFORD utasema ni kipa? Ila ya Liverpool tuliyokula goli 7 utasema ni kipa? Zile goli 6 za City utasema ni kipa? Ile game tuliyosuluhu na Crystal palace licha ya kuongoza goli moja tulipigwa msako mkali sana tukapona kwasaabu ya De Gea.
Mechi zetu dhidi ya Spurs, Sevilla, Barca, ARSENAL (ile ya 3-2) na nyingine nyingi, ni mechi tulizopoteza kipumbavu licha ya kutangulia kwasababu ya ujinga wa Ten Hag kwenye sub zake. Ni mara chache sana Ten Hag apige hesabu za kufanya sub kisha zifanikiwe.
Kwa mfano wa mechi ulizotoa bado sio sawa kumtupia lawama De Dea.
ITAFUTWE SABABU NYINGINE GENUINE, SIO KUSEMA DE DEA NI KIPA MBOVU.
Man Utd's new owners might not be in place before next season!












